Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Lwanda Magere tujulishe kwa watu wa Mwanza tunapata wapi Kitabu tuachane na mizinguo ya humi
 
Mkuu hivi kweli uko serious?,aliyekwambia mtu aliyetubu dhambi alizofanya hapendi pesa ni nani?,hujui pesa ndiyo inayoendesha maisha ya mahitaji yetu ya kila siku?,na aliyekwambia kwamba nimesitisha masimulizi ni nani?,Mimi nimetoa tangazo la namna ya watu kupata vitabu,wewe unaleta ujuaji mwingi usiyokuwa na faida,Quran na Biblia ni vitabu vitakafu lakini bado vinauzwa,hata hao wanaovigawa bure unakuta wamevinunua mahali.
Hiki kisa hapa nitaendelea kukisimulia lakini lazima na watu wanaotaka kopi za vitabu wajipatie maana kwanza kuna kisa humu sikukimalizia lakini kwenye kitabu kitakuwepo,pia kuna mambo ya kikatili niliyafanya ambayo hapa sitaweza kuyazungumza lakini kwenye kitabu yapo,pia wengine huwa wanataka kitabu kama kumbukumbu,hivyo mkuu msiwe mnapenda kupotosha.

Mimi mwenyewe ndiye niliamua kusimulia historia ya maisha yangu,hukunituma wewe,hivyo muda mwingine ni vema ukatulia wanaoweza watanunua.
Naeza kipata nikiwa Mombasa?
✌️
 
Back
Top Bottom