Mikasa ya Dunia: Mtu asiye na Kivuli, anayeweza kuwa sehemu mbili kwa wakati Mmoja

Yaani badala ya kutupa jibu kuwa ulimshuhudia mtu bila kivuli, ndo unatuuliza sisi?
Ilikua je wewe kupata habari nzito kama hii usisubiri hadi huyo asiye kivuli arudi kijiweni na wewe ushuhudie jambo hili la kihistoria?
Mmmmh.... Naota nadanganywa!
A
 
Kwani maiti haina kivuli? Mbona hata jiwe halina uhai ila lina kivuli mkuu?
 
napita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…