Mikasa ya Dunia: Mtu asiye na Kivuli, anayeweza kuwa sehemu mbili kwa wakati Mmoja

Ule mkasa wako ulivyo gombea dem na jini uliishia wapi vile?
 
ilitikiwa umuulize uyo bwana mwenyewe ili upate uhakika usije kuta ni bitii tu lakumkaribisha mgeni
 
Kumbe huijui Tanga.
Walikua wanakulia taimin uingie mwenyewe Cha kike.
Siku nyingine usijioneshe una pesa ukiwa Tanga.
 
becknature
😁😁😁 Nikweli mkuu, me kuna kipindi nilikutana naye pale k/ koo akanionesha kovu alilopewa gamboshi, ila yote na yote amini uchawi upo mkuu
 
becknature
😁😁😁 Nikweli mkuu, me kuna kipindi nilikutana naye pale k/ koo akanionesha kovu alilopewa gamboshi, ila yote na yote amini uchawi upo mkuu
 
Kwani jini ana kimvuli?
 
Kivuli ni zao la Mwanga pale unapopingwa na kitu kisichoruhusu hiyo miaka ya mwanga kupita ndani yake hii ni kanuni halali ya Fizikia kwahali yeyote kitu chochote kisichokuwa Transparent kikipigwa na mwanga lazima kitoe kivuli!


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna kitu nilishuhudia kdg kinashangaza kuna jamaa ana attracts Moshi ,yaani kikichomwa kitu kikatoa Moshi lzm umfuate upande wake hata km kuna upepo wa wastani wa kuupeleka direction tofauti yeye mwenyewe alikuwa anashindwa kujua ni kwanini au ina maana gani?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sio binadamu aliye hai tu, hata maiti ikisimamishwa ina kivuli.

Object yoyote ikimulikwa na mwanga wa Jua, Bulb au Mwezi lazima uoneshe kivuli upande wa pili au chini kutegemea na mahali Mwanga unapotokea

Mengine huwa ni stories tu, Furahisha Genge.
 
Kama hukumuona na kuthibitisha mwenyewe hill kwa macho mawili kwa MTU amesimama mbele yako lakini chino take hana kivuli, hiyo no story za vijiweni tu!
Labda no shukurani yako kwa kuwanunulia madafu!![emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…