Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Huyo Tonia hebu ongeza simulizi mkuu
Story ya Tonia ni ndefu mnoo.
Ni mwanamke niliyempenda sana na akanipenda zaidi.
Huyu alinifubza mengi pamoja na kupenda, kuvumilia na kulipigania penzi kwa kila hali.
Aliuteka moyo wangu sana.

Vilele upendo wangu ulimfanya zuzu na alijikuta akiambatana nami kila niendako bila kuniachia nafasi.

Kuelezea story ya Tonia hapa itanitoa nje ya kusudi la uzi mkuu
 
Kwa hiyo mkuu Glenn Sasa hivi hauko na Vicky Wala Tonia?
NAam siko nao wote mkuu.
Vicky kaolewa.
Tonia tulupotezana kwenye wakati mgumu sana kwa kila mmoja.
Kwa ufupi nilimuacha akiwa mgonjwa na asiyetamani kutoka nje kabisa kutwa analala ndani.

Msongo wa mawazo ulimletea matatizo makubwa kiafya.
 
Kwa hiyo mkuu Glenn Sasa hivi hauko na Vicky Wala Tonia?
Vicky alishaolewa na hatukuwa na bond kubwa sawa ilivyokuwa kwa Tonia.
Pili baada ya kuachana na Tonia kwa haraka haraka ilikuwa ni ngumu kumpata mwingine wa kulingana au hata kumkaribia Tonia so kwa Vicky ulikuwa urafiki wa kawaida sana.
 
NAam siko nao wote mkuu.
Vicky kaolewa.
Tonia tulupotezana kwenye wakati mgumu sana kwa kila mmoja.
Kwa ufupi nilimuacha akiwa mgonjwa na asiyetamani kutoka nje kabisa kutwa analala ndani.

Msongo wa mawazo ulimletea matatizo makubwa kiafya.
Ulimsaidiaje,au ulimtelekeza?
 
Ulimsaidiaje,au ulimtelekeza?
Daah kwa Tonia nimeteketeza sio chini ya self 2 mkuu.
Sina deni kwa huyo mrembo.
Niliuguza yeye
Niliuguza wazazi wote
NIliuguza bibi yake.

Kwa kifupi ukingoni mwa mahusiano yetu hiyo familia ilipitia changamoto kubwa kiuchumi na kiafya.

Babake ni mfanya biashara na aliugua akayumba.

Kaka yake naye alikuwa na biashara kubwa nayo iliyumba sana so sikumtelekeza.

Alifanya sana hadi alikiri mwenyewe kuwa Glenn...katika wanaume wewe wa kipekee haikukwa rahisi univulie kiasi hiki katika mapito yote.

So mkuu Satoh Hirosh sikumtelekeza huyo binti hata kidogo
 
Ulifanya Jambo lililo bora kumsaidia. Wengi hukimbia changamoto hasa kwenye scenario Kama yako inapotokea. Umeonyesha utu na utulivu Mr Glenn .
 
Ulifanya Jambo lililo bora kumsaidia. Wengi hukimbia changamoto hasa kwenye scenario Kama yako inapotokea. Umeonyesha utu na utulivu Mr Glenn .
Unaweza kumhudumia mwanamke miaka miwili iliyojaa bila kusex naye?

Huo uvumilivu haukuwa wa kawaida mkuu.

Ndio maana huwa nasema Tonia ni chuo changu cha mapenzi;
Alinifunza kumvumilia umpendaye
Alinifunza kulipigania penzi kwa hali zote.

Yes ni mwalimu wangu...
Siwezi kuongea mengine itoshe kwa hayo mkuu
 
Back
Top Bottom