Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Hivi kwann wasimuliaji wengi hupenda kusimulia hadith ambazo m'mke lazima awe na shepu nzuri sijui sura nzuri ina maana wanawake wengine wakawaida hawawez kukaa kwenye story? Ni swali tu
 
Nafikiri wa aina hiyo ndio wenye mikasa mingi sana ya kusisimua.
Pamoja na uzuri wao wana upande wa pili usiovutia pia.

Wanawake warembo na wenye kila anatakiwq kuwa nacho mwanamke hasa muonekano ndio wanawake wenye matatizo mengi sana katika mahusiano.

kuwamiliki inahitaji moyo sana.

Hii ndio sababu kuu kuwa wanaume tunaoa wanawake wenye muonekano wa kawaida kutokana na historia ya wanawake hawa warembo.
Hivi kwann wasimuliaji wengi hupenda kusimulia hadith ambazo m'mke lazima awe na shepu nzuri sijui sura nzuri ina maana wanawake wengine wakawaida hawawez kukaa kwenye story? Ni swali tu
Wa
 
Nakubali mkuu.
 
Hivi kwann wasimuliaji wengi hupenda kusimulia hadith ambazo m'mke lazima awe na shepu nzuri sijui sura nzuri ina maana wanawake wengine wakawaida hawawez kukaa kwenye story? Ni swali tu
Wanasimulia mahali waliponaswa kihisia zaidi
 
Mkuu inaonyesha unajua ku care sana, kwa uandishi huu ke hachomoi kwako🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…