Ngoja Nisiandike chochote.we acha tu mkuu walivyofyatua kitu cha kimataifa
Siwezi kujua wao, lkn hapa nilisimulia uhakisimulia tuHivi kwann wasimuliaji wengi hupenda kusimulia hadith ambazo m'mke lazima awe na shepu nzuri sijui sura nzuri ina maana wanawake wengine wakawaida hawawez kukaa kwenye story? Ni swali tu
Sawa kaka angu 😍😍😍Mdogo angu mimi, salama?
"Msolid" 🤔🤔🤔Msolid hujambo?😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Good Morning!!!Haa umeufufua[emoji23]