Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Kuna mtu aliwahi kusema, kama umezaliwa na ndugu yako bila kujua kuwa ni ndugu, siku mkikutana ni rahisi kuvutiwa nae kimapenzi. Sina uhakika kama ni kweli, ila mtu "ukighafilika" ni vizuri watoto wajuane mapema.
Inaweza kuwa kweli ilishawahi nitokeaga Kwa nduguyangu hatukujuana umbali ushukuriwe bila hivo 😂 tungekuwa tunaongea mengine
 
Oops Glenn unaona haya! Japo kuna namna wazazi wanakosea. Ukipata watoto jaribu kuwakutanisha. Alikuwa kaka yako kabisa.?
 
So mkafanya yenu sio?
😂😂😂Hapana ila tulisoma pamoja shule yeye alihamia tuko 4m 3 baada ya kumaliza akawahi kupata kazi mkoa mwingine mbali ila alikuwa ananipenda kumbe tangu shule

akanitafuta bhna tukaongea tukayamaliza 😀 kwakuwa tulikuwa tunafahamiana hakutak subirisubiri akatak kuoa nikakubali tukapnga tusubr apate likizo aje afate taratibu za mahari baada ya mwez babuyangu akafariki mm nikampa taarifa nimefiwa na Babu na mamayake akampa taarifa amefiwa na kakayake😂😂😂
 
Daah mkakutania home sio?
 
Daah mkakutania home sio?
Yeye alikuwa mbali ila mamaake alikuwa mkoa mmoja na tulipo ila wilaya nyingine akaja so jina la babuyngu analifaham na mamaake akamtajia ilo msiba ulivoisha ndugu wakabaki tukamaliza msiba akaniambia kuhsu mamayake na huu msiba wa kwet hebu nimuulize mama kma anamfahamu vipi mamayake yule kijana 😂

Nikauliza mama Tena kabla sijamtajia jina yeye akalitaja 😂akasema ni mtoto wa shangazi yake alafu amemlea wakat anaishi Kwa Shangazyake Mkubwa mamaake alikuwa mgonjwa 😀😀 yeye hakukulia hapo lakini mambo yaliisha hivo tumebaki ndugu bahat hatukukulana
 
Mlikulana kwa macho hahs
 
Back
Top Bottom