Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Inaweza kuwa kweli ilishawahi nitokeaga Kwa nduguyangu hatukujuana umbali ushukuriwe bila hivo ๐ tungekuwa tunaongea mengineKuna mtu aliwahi kusema, kama umezaliwa na ndugu yako bila kujua kuwa ni ndugu, siku mkikutana ni rahisi kuvutiwa nae kimapenzi. Sina uhakika kama ni kweli, ila mtu "ukighafilika" ni vizuri watoto wajuane mapema.
Hakuna wa damu ila ni ndugu kifamilia Babu yangu na mamayake ni mtu na kakayake na alishawahi lelewa na mamaangu kabla mm sijazaliwaOops Glenn unaona haya! Japo kuna namna wazazi wanakosea. Ukipata watoto jaribu kuwakutanisha. Alikuwa kaka yako kabisa.?
Kina jamii mtoto wa mjomba na shangazi wanaoana bila shida.Hakuna wa damu ila ni ndugu kifamilia Babu yangu na mamayake ni mtu na kakayake na alishawahi lelewa na mamaangu kabla mm sijazaliwa
๐๐๐Hapana ila tulisoma pamoja shule yeye alihamia tuko 4m 3 baada ya kumaliza akawahi kupata kazi mkoa mwingine mbali ila alikuwa ananipenda kumbe tangu shuleSo mkafanya yenu sio?
Sisi kwetu hamna yaani hata mtu aloolewa kwetu nduguyake hawez kuoa upandewetu tunakuwa km ndugu tayari ndo walivojiwekea naonaKina jamii mtoto wa mjomba na shangazi wanaoana bila shida.
Daah mkakutania home sio?๐๐๐Hapana ila tulisoma pamoja shule yeye alihamia tuko 4m 3 baada ya kumaliza akawahi kupata kazi mkoa mwingine mbali ila alikuwa ananipenda kumbe tangu shule
akanitafuta bhna tukaongea tukayamaliza ๐ kwakuwa tulikuwa tunafahamiana hakutak subirisubiri akatak kuoa nikakubali tukapnga tusubr apate likizo aje afate taratibu za mahari baada ya mwez babuyangu akafariki mm nikampa taarifa nimefiwa na Babu na mamayake akampa taarifa amefiwa na kakayake๐๐๐
Yeye alikuwa mbali ila mamaake alikuwa mkoa mmoja na tulipo ila wilaya nyingine akaja so jina la babuyngu analifaham na mamaake akamtajia ilo msiba ulivoisha ndugu wakabaki tukamaliza msiba akaniambia kuhsu mamayake na huu msiba wa kwet hebu nimuulize mama kma anamfahamu vipi mamayake yule kijana ๐Daah mkakutania home sio?
Mlikulana kwa macho hahsYeye alikuwa mbali ila mamaake alikuwa mkoa mmoja na tulipo ila wilaya nyingine akaja so jina la babuyngu analifaham na mamaake akamtajia ilo msiba ulivoisha ndugu wakabaki tukamaliza msiba akaniambia kuhsu mamayake na huu msiba wa kwet hebu nimuulize mama kma anamfahamu vipi mamayake yule kijana ๐
Nikauliza mama Tena kabla sijamtajia jina yeye akalitaja ๐akasema ni mtoto wa shangazi yake alafu amemlea wakat anaishi Kwa Shangazyake Mkubwa mamaake alikuwa mgonjwa ๐๐ yeye hakukulia hapo lakini mambo yaliisha hivo tumebaki ndugu bahat hatukukulana
Sio umejikaza, umeandika vizur sn[emoji4][emoji123]Acha kabisa.
Mimi mvivu sana kuandika hata hivyo nimejikaza balaa