Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

Unaweza kumhudumia mwanamke miaka miwili iliyojaa bila kusex naye?

Huo uvumilivu haukuwa wa kawaida mkuu.

Ndio maana huwa nasema Tonia ni chuo changu cha mapenzi;
Alinifunza kumvumilia umpendaye
Alinifunza kulipigania penzi kwa hali zote.

Yes ni mwalimu wangu...
Siwezi kuongea mengine itoshe kwa hayo mkuu
Hii part umeiandika kwa hisia ya juu sana. Hongera sana kwa kuwa mwanaume bora katika kupigania ukipendacho regardless what you get in return, i bet Tonia is safe somewhere anaenjoy sweet memories you shared together.
 
Haya mambo yapo, kuna dada mmoja pia amezaa na kaka yake kabisa wamechangia mama though wao walikuwa hawajuani. Walikutana chuoni wakapendana na kupeana mimba.
Imekuja kujulikana baada ya kutaka kuoana rasmi, kwenye kutambulishana kwa wazazi ndo ikasanuka wao ndugu.
 
Daah hii kitu mbaya sana unamla dadako itakutesa sana
 
Back
Top Bottom