mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ndo nilikua f4 kipindi hichoTotoo,Ulivunja ungo 2020?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nilikua f4 kipindi hichoTotoo,Ulivunja ungo 2020?🤣
What about kamamaa? Alikuwa na umri gani? Isije kuwa ulitakuwa uwe kifungoni muda huu🤣ndo nilikua f4 kipindi hicho
😂😂😂 kweli wewe kiboko uduguMapenzi ya utotoni ni vichekesho!
Mimi niliandikaga barua kwa kalamu nyekundu 😁!
wapo wengi mkuu, specify
mimi naamini bikra ilitoka kwenye nyeto😂Hiyo first time yako 2020 uliwakunja vibinti vingi kwa mara moja?🤣kijana mpuuzi sana wewe.
Nakumbuka sasa uduguuu!! Nahisi nilichorachoraaa tu sijui hata nilichora kitu gani🤠🤠🤠🤠!!😂😂😂 kweli wewe kiboko udugu
Eee nambie ulichoandika basi, lete ubuyu huo
Mwenzio nilikuwa nikitongozwa naenda kusema kwa mama 😂😂😂Nakumbuka sasa uduguuu!! Nahisi nilichorachoraaa tu sijui hata nilichora kitu gani🤠🤠🤠🤠!!
2020 form 4? aseee we sio dogo ni yankndo nilikua f4 kipindi hicho
Ningeshangaa nisingeona comment yako ndugu mwenyekiti 😂😂😂Niko la 7 siku yangu ya kuzaliwa nikaletewa zawadi na binti wa darasa la 6, ofcz alikuwa akinikubuli toka akiwa la 5 mie la 6.
Akawa mpenzi wangu, nikaenda form 1, 2 mpaka nafika 6, alikuwa ni mpenzi wangu binti tabia zimenyooka, namuona huyu mke kabisa.
Kuanzia 4m 2 hivi zaidi ya kukutana nae na kumchezea kisha nikamnyonya papuchi, sikuwahi kumtia DUNGUSO, ujana wangu nilioanga sintavunja bikra ya mtu labda yule ambae ndio nimemuoa.
So binti ikawa tunakutana tunafanya michezo yetu naitizama tu bikra ipo, ila mie nikawa nanjunja pembeni bila ya yeye kujua,..
4m 1 nilizingua nikatimuliwa shuke nikaenda kuanza upya, tukawa vidato sawa,
Dah, kufika kidato cha 6 hivi nikaja umbuka kwanza kuna manzi nilikuwa nabembeleza mdogo mdogo toka nipo form 4 kwao arusha, sasa hapo mwishoni tumepiga pepa ya 6 tayari napokea simu namba ngeni, sauti inafanana na yule demu wa arusha, namuuliza we uko wapi ananiambia yupo arusha ila hajanitajia ye nani, kumbe ye kamaliza pepa weruweru high school katulia arusha anajipanga kuja dar.
Nikajichanganya nikataja jina la yule demu mwingine.. Ikawa kesi, ila nikaweza kuisolve alipokuja dar, baada ya muda anapata taarifa nimepata mtoto, nilitia mimba nikiwa form 5 mwishoni.
Akabwaga manyanga yule binti, ila nakumbuka yale mapenzi yake, alikuwa ananipenda.
Katika wanawake waliowahi kunioenda kwa dhaaati kabisa nae yupo kwenye kundi, shida ujana wangu ulikuwa na mazonge mengi mnooo
😂🤣
Anamchomea utambi mwenzie kumbe nae anakupenda hahaa 😁😁!Mwenzio nilikuwa nikitongozwa naenda kusema kwa mama 😂😂😂
Mimi vya kuandikiana barua sijawahi ila nakumbuka kuna jamaa alikuwa ananipenda kuniambia hawezi, sasa kuna marafiki zake wawili wote walikuwa wananipenda basi wanamuomba yeye ndio awasindikize kuja kunitongoza 😂😂😂
Basi wakija yule jamaa hataki kuondoka anataka asikilize jamaa yake ataongea nini??!
Na mimi nikamkataa yule mshkaji wake basi tukikutana ananipongeza, safi atakuharibia maisha yule usimsikilize. Nikawa nashangaa 😂😂😂
Hahahaa mwamba ulituangusha sanaaa yaani we ndio nalia badala ya pisimi nakumbuka nikiwa std 7, nilkua nna washikaji zangu wawili hivi ambao tulkua tunashindania namba za juu darasani ila wao walikua wakubwa kidogo coz walirudia madarasa, so tayar mambo ya kikubwa kubwa walikua washaanza. Ile tunakarbia mwisho mwisho kuna siku walinibananisha wakanitongozea demu classmate mwenzetu kimasihara na demu akakubal kwenda kuliwa na tayar wakat huu nafikir alkua kashavunja ungo.. daah aisee mi nilkua najua utani alivokubali na nikaona washikaji wamedhamiria kabsa nikabikiriwe.. NILILIA SANAAA sitasahau [emoji23][emoji23]
Afu eti tulivomaliza shule ndo nkaikumbuka Ile moment na kujiona bwege sana baada ya kukutana na Ile pisi mtaani imenawiri mbaya mbovu inanicheeeka [emoji28]... niliombaga mzigo baadae sana ila sikufanikiwa
Dah, ndugu mjumbe huwa unanifumania sekta mbovu tu.. Kwani umenitegeshea alarm ama 😂😂Ningeshangaa nisingeona comment yako ndugu mwenyekiti 😂😂😂
Pen nyenkundu kwa msisitizo zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi ya utotoni ni vichekesho!
Mimi niliandikaga barua kwa kalamu nyekundu [emoji16]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nakumbuka nikiwa std 7, nilkua nna washikaji zangu wawili hivi ambao tulkua tunashindania namba za juu darasani ila wao walikua wakubwa kidogo coz walirudia madarasa, so tayar mambo ya kikubwa kubwa walikua washaanza. Ile tunakarbia mwisho mwisho kuna siku walinibananisha wakanitongozea demu classmate mwenzetu kimasihara na demu akakubal kwenda kuliwa na tayar wakat huu nafikir alkua kashavunja ungo.. daah aisee mi nilkua najua utani alivokubali na nikaona washikaji wamedhamiria kabsa nikabikiriwe.. NILILIA SANAAA sitasahau [emoji23][emoji23]
Afu eti tulivomaliza shule ndo nkaikumbuka Ile moment na kujiona bwege sana baada ya kukutana na Ile pisi mtaani imenawiri mbaya mbovu inanicheeeka [emoji28]... niliombaga mzigo baadae sana ila sikufanikiwa
Jamaa alikuwa ananichekesha kweli 😂😂😂Anamchomea utambi mwenzie kumbe nae anakupenda hahaa 😁😁!
Mapenzi ya utoto vituko sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas.Mwenzio nilikuwa nikitongozwa naenda kusema kwa mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi vya kuandikiana barua sijawahi ila nakumbuka kuna jamaa alikuwa ananipenda kuniambia hawezi, sasa kuna marafiki zake wawili wote walikuwa wananipenda basi wanamuomba yeye ndio awasindikize kuja kunitongoza [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wakija yule jamaa hataki kuondoka anataka asikilize jamaa yake ataongea nini??!
Na mimi nikamkataa yule mshkaji wake basi tukikutana ananipongeza, safi atakuharibia maisha yule usimsikilize. Nikawa nashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]