Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

Hapa afadhali bhana wanyama wetu ndio target kwa Bara. Huko kwao visiwani afadhali wawakabidhi kabisa hiyo bandari. Siye hatumo!! Viongozi wengine ni viazi kabisa! Hivi nani anajua ugomvi ulio kenya sasa hivi- Uhuru amekataa kudisclose mkataba wa ile highway ya Mombasa road na ile railway line Mombasa Nairobi. Hofu imetanda kwamba imefungamanishwa na kukabidhiwa kwa bandari ya Mombasa.

Huko Zambia, Lusaka airport imechukuliwa!! tayari.
Na huku bado tunadalalia raslimali zetu tu.
Bado kuna ule mkataba wa bagamoyo

Kha madalali wametupania hadi watuuze na siye.
 
Hii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?

Kuna mtindo mpya wa kwenda kusaini mikataba nje ya nchi je mikataba hiyo waziri wa sheria na katiba anahusika kuisaini?

Hii mikataba ikienda kusainiwa huko china wabunge wanakuwa wameipitia au kuijua au tunaenda kuisaini huko china tu?

Ni nani huwa anaandaa na kuipitia hiyo mikataba kabla samia hajaondoka nayo kwenda kusainiwa huko ugaibuni?

Ni nani amemtuma samia kwenda kusaini mikataba 15 huko china kwa wakati mmoja?

Huo mkopo wa kujenga Zanzibar international airport ni nani atalipa huo mkopo na dhamana yake ni nini?

Huko Zambia wachina walishika uwanja wa mpira, Tanesco ta huko na uwanja wa ndege kisa wazambia walishindwa kulipa mkopo wa wachina Samia anakumbuka?

Nimeuliza tu
Hata Xi Jinping alishakuja hapa bongo mikataba ikasainiwa, kwa hiyo sehemu ambapo mikataba inasainiwa haina hoja sana. Hoja ni kwamba mikataba hiyo isiwe ya kutufunga au migumu kiasi kwamba mchina akakamata mali za nchi kufidia kama alivyofanya huko zambia. Kingine zanzibar kawa kupe mnyonyaji katika utawala huu wa mzanzibari ndo maana tunataka katiba mpya ili Tanganyika nayo iwe na kiongozi mwenye mamlaka kamili kwa ajili ya kusimamia maslahi yake katika muungano kama ilivyo zanzibar ambayo ina rais mwenye mamlaka kamili.​
 
Eti wametupa Tsh 30+ bilioni.
Jamani hiyo Ni pesa hata mwenye kituo Cha petroli anayo.
Mimi nilitaka ku comment kweli nchi kama China wakutupa 100 hawa jamaa wana matrillion nilidhani Mama anaenda kuchukuwa pesa ndefu 230 billion wakati nasikia magari tu tunatumia 200 million huko au wamekosea number hawa? China ni moja ya super power kiuchumi niliwaza zitapigwa deal za maana ila nimekuwa dissapointed
 
Mimi nilitaka ku comment kweli nchi kama China wakutupa 100 hawa jamaa wana matrillion nilidhani Mama anaenda kuchukuwa pesa ndefu 230 billion wakati nasikia magari tu tunatumia 200 million huko au wamekosea number hawa? China ni moja ya super power kiuchumi niliwaza zitapigwa deal za maana ila nimekuwa dissapointed
Sasa hujaona hiyo mikataba. Zubiri waiweke hadharani. Kama mtia sinye Ni huyo mwenye PhD ya kuchovya.
 

Attachments

  • 3FEF416D-EE92-4232-AD08-53A961D89E18.jpeg
    3FEF416D-EE92-4232-AD08-53A961D89E18.jpeg
    27.4 KB · Views: 3
Mod unganisheni threads zote za ziara ya mama China hili participatory brainstorming ifanyike vizuri ni milestone kubwa mbona mmelala sana
 
Back
Top Bottom