mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Hapa afadhali bhana wanyama wetu ndio target kwa Bara. Huko kwao visiwani afadhali wawakabidhi kabisa hiyo bandari. Siye hatumo!! Viongozi wengine ni viazi kabisa! Hivi nani anajua ugomvi ulio kenya sasa hivi- Uhuru amekataa kudisclose mkataba wa ile highway ya Mombasa road na ile railway line Mombasa Nairobi. Hofu imetanda kwamba imefungamanishwa na kukabidhiwa kwa bandari ya Mombasa.
Huko Zambia, Lusaka airport imechukuliwa!! tayari.
Na huku bado tunadalalia raslimali zetu tu.
Bado kuna ule mkataba wa bagamoyo
Kha madalali wametupania hadi watuuze na siye.