The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ndio inahusianaje na utalaamu wa kisheria kwenye mikataba? Waliwahi ku practice wapi hao wasomi?We na huyo Makamba akili zenu sawa in your little pathetic heads mnadhani watanzania wote ni wapuuzi kama nyie.
Ebu mwambie waziri achunguze hapo wizarani since Dr Mpango amekuwa waziri ni watanzania wangapi wamepekekwa Aberdeen University kusomea maswala ya Oil and Gas.
If you don’t know about Aberdeen University ipo very close to North Sea na ndio chuo kikubwa shell Uk ina sponsor in oil and gase degrees.
Makamba is just stupid
Deep down you know to call me an idiot nikujifurahisha tu mwenyewe.L
It is difficult to explain what kind of an idiot you are
Ukifuatilia hiyo link niliyokupa utaona majukumu ya PURA .Sitakuwa na mengi ya kusema kwa sababu nipo occupied na kwahiyo nimeshindwa kutafuta details za hicho kilichofanywa na Makamba. Hata hivyo, kwa jinsi nilivyo mbishi, lazima nirudi tena baadae!
Pamoja na yote hayo, hebu tuwe wakweli! Hao watalaamu waliopo hapo kwa AG ni wataalamu wa nini hasa?! Kwamba eti ni watalaamu wa mafuta na gesi... walikuwa wanafanyia wapi?! Kumbuka, kwa mambo kama haya huwezi kutegemea mtu wawili watatu wenye huo utalaamu kushikilia mustakabali wa taifa bali unahitaji kuwa na TIMU YA WATALAAMU kwenye eneo husika!
Hivi kabisa unaamini hao watu wapo pale kwa AG?!
Kwa upande mwingine, nili-Google kuifahamu kampuni aliyoitaja mleta mada, huku interest yangu ikiwa upande wa energy sector, na hiki ndicho nimekuta kwenye website yao (more research is needed ku-justify uwepo wao).
Upande wa Energy Sector wanajipakulia minyama kwamba:-
Kisha wanaendelea:-
Also:-
We handle disputes involving all aspects of the exploration, production, distribution, and marketing of energy products, including:
Kwenye Energy Sector peke yake, wana team ya watu zaidi ya 60! Kwahiyo hivi unaamini kabisa kwamba uko kwa AG na kwingineko tuna wataalamu wa kutosha wa ku-handle hayo mambo?!
- Upstream Oil and Gas Operations
- Royalty Disputes-Private Litigation
- Royalty Disputes-Government Actions
- Supply Contract Litigation
- Service Contract Litigation
- Energy Project Construction Disputes
- Downstream Operations and Contracts
- Market Manipulation and Consumer Price-Fixing Litigation
- Regulatory Reviews and Rate-Making Proceedings
- Government Investigations and Litigation
- Trans-national Litigation
Na pia tusichanganye mambo! Kazi ya hiyo kampuni haiwezi kuwa kuingia mikataba bali kutoa ushauri kwa Serikali including GNT.
Miaka 5 ya Mzee baba Magu, hapakuwa na mauzauza ya umeme kukatika hovyo wala mikataba ya kisirisiri.We kahaba mbona kabla ya hao wahindi kupewa hiyo kazi kulikuwa hakuna mauzauza ya umeme kukatika hovyo?
Unataka kusema hakuna watanzania wenye uwezo wa kutengeneza software. Pumbavu kabisa.
Unajua huu mradi wa LNG Lindi upo stage gani na ulianza lini? Kulikuwa hakuna Government negotiating team? Kwa sababu ni mradi wa Trilion 70 ndio wapewe was waingereza kimauzauza kufanya transaction negotiation. Weka kando upumbavu wako na kaa kimya kuliko kuhifanya unajua wakati umejaaa kinyesi kichwani.
Hiyo ni styre ya kujipendekeza kwa wakubwa kwa maslahi binafsi. Pumba kabisa!Anaruka watu wote anaenda kumsainisha Rais,makamu wa Rais,mpango alimwambia afuate utaratibu na hio mikataba yake bado hasikii
yaani picha ya kidole tu ndio unaomba msaada wa banio? 😉😉😉😉 Du!Moderator huyu anastahiki ban ya miaka miwili
Unatetea ujinga kwa faida ya Nani?"SERIKALI IMEINGIA MKATABABA WA HUDUMA YA USHAURI KATIKA MAJADILIANO YA MRADI WA LNG NA BAKER BOTTS YA UK' hebu soma vizuri haya maelezo. Hiyo kampuni wao hawanegotiate, wanaacha nyinyi mjadiliane then wao wanashauri kwa uzoefu wao kwamba ipi ni njia sahihi. Sasa hapa kwetu kuna kampuni gani gani au team ipi ambayo ina uzoefu na LNG project ambayo inaweza kushauri serikali? Watu kama nyinyi ndio Prof. Muhongo alikua anawajibu kunya hadi mnatamani kujiua.
COPY,Sawa, wanasheria serikalini wanatuangusha - hilo halina ubishi kabisa, je wanasheria wa kujitegemea watanzania hawana weledi huo? Ukiangalia kesi kibao zihusuzo mikataba ya madini au masuala ya kodi za makampuni ya kimataifa yaliyopo hapa Tanzania mbona zinawakilishwa na wanasheria wa kitanzania?
Ukipitia tovuti za Firm mbalimbali za Sheria kama FB Attorneys, Lex Attorneys, IMMMA nk wamejipambanua vyema kuwa wanatoa ushauri kwa mambo ya biashara za kimataifa, mambo ya madini nk hata hao kweli wameshindwa kuwapa kazi?
Mzee Nimrodi Mkono na Firm yake wamekuwa wanasheria wa Tanesco, IPTL nk hata hao wameshindwa kupewa kazi? Basi wangempa hata Ngwilimi, yule aliyekuwa mwanasheria wa Tanesco wakati wa saga ya IPTL akatoa ushauri wa maana halafu ukapuuzwa na Management ya Tanesco pamoja na mwanasheria mkuu wa Serikali.
Itoshe kusema, wanasheria wa kujitegemea wapo wengi tu wenye uchungu na nchi hii na wenye weledi mkubwa wa Sheria, wangepewa hiyo kazi. Na kama hii kazi imetolewa bila ushindani, tayari ni harufu ya rushwa pamoja na uvunjwaji wa sheria ya manunuzi
Wewe kiazi hakuna mtu anasomea exactly Gas and Oil law.Ndio inahusianaje na utalaamu wa kisheria kwenye mikataba? Waliwahi ku practice wapi hao wasomi?
NChi haifanyiwi majaribio.Stupid
Toa upumbavu wako hapa,kusomea ni jambo moja na ku practice uka win kwenye mazingira halisi ni jambo kingine.Wewe kiazi hakuna mtu anasomea exactly Gas and Oil law.
With exceptions, otherwise a majority of specialised lawyers nchi za wenzetu in their fields ni watu walio hitimu degrees za kawaida tu kwanza plus work experience.
Sema baadae unaruhusiwa kusoma masters mwaka mmoja ujifunze legal arguments; baada ya hapo unakuwa specialised lawyer.
That is to say hakuna mtu ambae kasoma oil and Gas Management awezi kuelewa elements majadiliano na dispute resolutions; ni mpuuzi kama Makamba na wewe mnaodhabi watanzania wote wana limitations kama mlivyo nyie hadi kutukuza mabeberu.
JF, huwa tunaomba Ushauri kila siku, tena huwa tunajieleza kwa huruma ili tusaidiwe na watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri kwa kina kwa wepesi na kwa haraka.Ushauri umekuwa expensive hivo kumbe....
Nashangaa watu humu huwa wanataka kupewa ushauri wa Bure wakati makamba anaununua kwa hela nyingi...
InFact Watanzania na Africa kwa ujumla hatujiamini na imepelekea kutoweza kufanya lolote...
Nikuulize swali what legal term is used in the contract framework to dictates each party’s right and dispute resolution approach; halafu nitajie kama hiyo term ipo kwenye somo lolote la sheria zaidi ya biashara.Toa upumbavu wako hapa,kusomea ni jambo moja na ku practice uka win kwenye mazingira halisi ni jambo kingine.
Maslahi ya Nchi hayafanyiwi majaribio.
Ndio maana nakwambia wewe ni mburula kama wengine, unadhani aliyetoa ushauri kwa Waziri na Serikali ku hire consultancy firm ni baba yako au AG?Ukifuatilia hiyo link niliyokupa utaona majukumu ya PURA .
AG ana watu maalum kabisa wanaohusika na maswala la mikataba.
Na yeye ndio mshauri namba moja wa maswala ya mikataba kwa serikali.
Sioni kwanini wataalam wa ofisi zote hizo wapuuzwe na atumike mtu wa nje.
Sasa majukumu ya AG na PURA kupewa mtu ambaye sio mzawa ni kumdharau AG na pia kuidharau taasisi ya PURA ambayo ndiyo imeanzishwa kwa sheria ya bunge mahususi kabisa kuishauri serikali kuhusiana na maswala ya oil and gas.
Hayo maswali yako yanahusikaje na uamuzi wa.serikali Ku hire consultancy firm? Toa umbulula wako hapa.Nikuulize swali what legal term is used in the contract framework to dictates each party’s right and dispute resolution approach; halafu nitajie kama hiyo term kama ipo kwenye somo lolote la sheria zaidi.
Kujibizana na watu wapuuzi kama nyie ni kupoteza muda mtu unakuta hana ata basic knowledge ya kitu anachotaka kujibizana nakuonya mapema maswala ya mikataba ya mafuta na Gas naijua and the wide industry operation.
Sasa kama huna ata basic knowledge unajuaje kama ikila mtu anadhani tunahitaji mwanasheria.Hayo maswali yako yanahusikaje na uamuzi wa.serikali Ku hire consultancy firm? Toa umbulula wako hapa.
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa Kitanzania au ni ufanisi gani ambao hawa Wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa Kitanzania hawapo?
Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.
Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.
Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Rubbish.Hivi Kwa mfano Tanroads hawana kitengo cha consultancy? Kwa nini huwa Wana hire consultancy firms kwenye miradi?Sasa kama huna ata basic knowledge unajuaje kama ikila mtu anadhani tunahitaji mwanasheria.
What element exactly ya mkataba ambazo sisi wenyewe atuwezi zitetea? au unaunga mkono upuuzi tu, hujui ata unatetea nini.
Makamba Jr tumekusikiakuna mdau alikuja kulalamika hapa aliwapa wabongo project wamyengenezee software, pamoja na kuwalipa pesa nyingi bado iliwachukua mwaka mzima na project ilipokamilika ilionekana kwamba ni copy and paste, usanii mwingi HIVYO SOFTWARE DEVELOPERS WA KIANZANIA NI VILAZA FIRST GRADE.
Kwa akili yako fupi unahisi kuna kampuni gani ya kitanzania inaweza kufanya kazi ya ushauri kwenye mradi srious kama huu? unajua maana ya 70T wewe? au unakurupuka tuu kuja kulalamika hapa sababu tuu unamiliki iphone macho matatu? Kwa kifupi serious business zinahitaji watu serious.