Sitakuwa na mengi ya kusema kwa sababu nipo occupied na kwahiyo nimeshindwa kutafuta details za hicho kilichofanywa na Makamba. Hata hivyo, kwa jinsi nilivyo mbishi, lazima nirudi tena baadae!
Pamoja na yote hayo, hebu tuwe wakweli! Hao watalaamu waliopo hapo kwa AG ni wataalamu wa nini hasa?! Kwamba eti ni watalaamu wa mafuta na gesi... walikuwa wanafanyia wapi?! Kumbuka, kwa mambo kama haya huwezi kutegemea mtu wawili watatu wenye huo utalaamu kushikilia mustakabali wa taifa bali unahitaji kuwa na TIMU YA WATALAAMU kwenye eneo husika!
Hivi kabisa unaamini hao watu wapo pale kwa AG?!
Kwa upande mwingine, nili-Google kuifahamu kampuni aliyoitaja mleta mada, huku interest yangu ikiwa upande wa energy sector, na hiki ndicho nimekuta kwenye website yao (more research is needed ku-justify uwepo wao).
Upande wa Energy Sector wanajipakulia minyama kwamba:-
Kisha wanaendelea:-
Also:-
We handle disputes involving all aspects of the exploration, production, distribution, and marketing of energy products, including:
- Upstream Oil and Gas Operations
- Royalty Disputes-Private Litigation
- Royalty Disputes-Government Actions
- Supply Contract Litigation
- Service Contract Litigation
- Energy Project Construction Disputes
- Downstream Operations and Contracts
- Market Manipulation and Consumer Price-Fixing Litigation
- Regulatory Reviews and Rate-Making Proceedings
- Government Investigations and Litigation
- Trans-national Litigation
Kwenye Energy Sector peke yake, wana team ya watu zaidi ya 60! Kwahiyo hivi unaamini kabisa kwamba uko kwa AG na kwingineko tuna wataalamu wa kutosha wa ku-handle hayo mambo?!
Na pia tusichanganye mambo! Kazi ya hiyo kampuni haiwezi kuwa kuingia mikataba bali kutoa ushauri kwa Serikali including GNT.