Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

Sasa habari za JK zimetokea wapi wakati tunazungumzia issue ya taasisi za serikali kuajiri foreign legal firm?
Mtu akimponda jk ina maana analinda legacy? Jk haruhusiwi kusemwa?
 
Matusi yanini chief?
 
Hao ndio REX Attorneys ambapo Mwanaidi Majaar ambaye ni mjumbe wa bodi ya tanesco huku ni Senior Partner wa hiyo firm. Hata hawa wameshindwa kutufanyia hiyo kazi?
 
Hivi ndio mtu anayejitambua anapaswa kurespond sio mleta mada akili yake imejaa matusi wakati hajui kitu. Ila mkuu kukatika kwa umeme nadhani sio software related labla ungesema ukinunua umeme huupati kwa wakati ningekuunga mkono.
Kwamba watu siriaz hawapo Tanzania na hawajazaliwa?
tanzania kuna shida nyingo, imagine mbobezi bobevu kama chenge lakini bado mpigaji.... kwenye masuala muhimu tanzania bado saa
 
umeme nadhani sio software related labla ungesema ukinunua umeme huupati kwa wakati ningekuunga mkono
Asante Mkuu. Sasa ni lini tulilalamika kuwa tukinunua umeme hatuupati kwa wakati? Yaani hela zote hizo 70 bil ni kwa ajili ya kazi hii ambayo kwa software zilizokuwepo ilikuwa inafanyika kwa ufanisi? Nadhani itasemwa kazi nyingine hii uliyotaja haitoshi.
 
Ooops! Sijui kwanini nimechelewa kuona notification ya hii post yako...

Mosi, lile la Bunge na Kusimamia Serikali wala sio kwamba nimelisahau! Huwezi amini, nime-pin kabisa ile page ili hata kama nikisahau basi ipo siku nitaiona tu!

Sijakujibu kwa sababu ile ipo kwenye katiba na sheria za bunge, kwahiyo nisingependa kutoa maelezo ya kichwa peke yake, na kwa bahati mbaya nipo occupied kidogo!!

Hilo la kwanini tender ime-stall from 2018 kuna combination of factors!!!

1. Kwanza mchakato mzima kabla ya kufikia hata hatua ya ujenzi kwa kawaida huchukua muda mrefu! Pitia post yangu #76 kwenye huu uzi ambapo niliwahi kuelezea hatua kwa hatua!

Kwa ufupi nilisema hivi:-
Sasa labda tuhoji kwanini tenda ilitangazwa mapema wakati kuna mambo yalikuwa hayakamilika, that brings us to point #2 kwamba:-

2. Gas and Oil Industry haikuwa priority kwa JPM na matokeo yake, mambo yakawa yana-delay sana! Shell Tanzania waliwahi kutoa Project Timeline, na summary yake ni hii hapa chini:-


Kama uonavyo, wenyewe wanakuambia by the time walikuwa kwenye Project Foundation lakini wanakuambiia TIMING UNCERTAIN!

Why uncertain?!

Ukweli mchungu ni kwamba, kwenye closing doors JPM alikuwa anaongea lugha moja na washika dau hadi watu wanatangaza tenda (siku za nyuma niliwahi kuweka tenda ya TPDC wakitaka interested bidders wenye uwezo wa kusambaza mabomba ya gas majumbani nchi mzima) lakini akitoka nje "Hakuna cha gesi, wizi mtupu! Hii nchi tumeibiwa sana! Gesi yote imeshauzwa"

Wafuasi watapiga makofi na vigelele bila kujua anawakanganya wengine ambao ndio hao waliokuwa wana wajibu wa kupeleka mipango mbele!!

Binafsi miezi michache iliyopita nilipita pale Likong'o wanapotaka kujenga hiyo plant... in short, tulikuwa bado sana! Na tulikuwa bado kwa sababu haikuwa priority ya rais.
Nini kilisababisha project hii isimame mpaka sasa ilivyofufuliwa upya??
 
Hoja za kipumbavu sana, Kwamba mtu alilalamika kurubuniwa na vijana aliowapa kazi ya kutengeneza software hiyo ndio ihalalishe. alafu basi sasa eGA sijui inakazi gani tena, Mana eGA ndio official Consultant wa serikali katika maswala kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…