Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Mtu akimponda jk ina maana analinda legacy? Jk haruhusiwi kusemwa?Sasa habari za JK zimetokea wapi wakati tunazungumzia issue ya taasisi za serikali kuajiri foreign legal firm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akimponda jk ina maana analinda legacy? Jk haruhusiwi kusemwa?Sasa habari za JK zimetokea wapi wakati tunazungumzia issue ya taasisi za serikali kuajiri foreign legal firm?
Matusi yanini chief?We fala kaa kimya acha kujifanya unajua. Hakuna software developer talented ndio una maana gani? Wana copy na kupaste nini? Kwani kila software lazima zifanane mpaka wakopy na kupaste. Unajua maana ya software?
Transaction negotiation advisory watanzania hawawezi kufanya? Upuuzi wa kujifanya unajua wakati hujui.
Kwahiyo ukishaenda kusoma Aberdeen University ndo tayari unakuwa mtalaamu wa masuala ya mafuta na gesi, especially the legal side of the industry? Badala ya kujibu hoja unamwaga mapovu!!
Tatizo la watu aina yako, mtakuja hapa kumwaga povu kwa kila jambo ambalo mnaamini JPM hakufanya kwa sababu mnaamini ambacho hakufanya yeye ndo SAHIHI!
Mkuu Stroke,
Nilikuahidi kwamba ningerudi tena baadae nikishapata muda wa ku-research kidogo....
Man, tuhitimishe bila kupoteza muda kwa kusema yafuatayo...
Tutupo hapa JF pamoja kwa muda mrefu na tunafahamiana misimamo yetu!
Ingawaje hata nikisema bado unaweza kubisha but we both know kwamba, wewe Stroke, na hata Mleta Mada Mkuu Idugunde, nyinyi na hata huyo Kilatha niliyem-quote hapo juu lazima MTAPINGA jambo lolote mnaloamini JPM hakulitaka hata kama hamna taarifa kamili ikiwa kweli hakulitaka au vipi!
Now , let's cut to the chase, once and for all. Baada ya kuchunguza, nimegundua tenda kuhusu kuajiri a foreign company ilitangazwa wakati wa Mtukufu Mnayeamini hana makando kando yoyote, na ndie Mzalendo Namba 1 kwenye taiafa hili:-
View attachment 2096565
Sasa je, ina maana Serikali ya Mzalendo John Pombe nayo haikuwaona makumi ya Watalaamu wenye uwezo wa kuishauri GNT?!
Na hata Wataalamu wa Sheria wenyewe, tena critic kama Fatma Karume, nao wanasema:-
View attachment 2096570
Hivi unataka kusema wewe na mimi tuzifahamu corporate law firm Bongo kumzidi Fatma!! Na kwa alivyo Fatma, hapo kakosa cha kukosowa lakini akaona asitoke hivi hivi ndo maana akazungumzia suala ikiwa Public Procurement Act imefuatwa... nami namuunga mkono ingawaje kwa doc hiyo ya TPDC hapo juu, inaonekana ilifuatwa at least kutangaza open tender!
Nami narudia kama nilivyosema hapo awali: TUSIJIDANGANYE, HATUNA WATAALAMU! Hii ni zaidi ya mtu kuwa na L.L.B, L.L.M, and PhD ya Sheria!
Na hata hilo suala la software ambalo mnapenda sana kulizingumzia kirahisi rahisi tu, mosi ni Tanzania-Zambia Transmission Interconnector (TAZA) Project, inayofadhiliwa na World Bank, na tenda yake ilitangazwa enzi za huyo huyo!
View attachment 2096568
Stay blessed y'all... nimesha-conclude mjadala kwa upande wangu vinginevyo mtu aniwekee profile ya legal firm kutoka Tanzania inayofanana angalau kwa 25% TU kulinganisha na ile profile niliyoiweka Baker & Bottis!! Au aniwekee profile za Wanasheria Wazalendo wenye uzoefu in oil and gas industry lakini kinyume cha hapo tutakuwa tunaendeleza league isiyo na tija!!
rexattorneys.co.tz
Hivi ndio mtu anayejitambua anapaswa kurespond sio mleta mada akili yake imejaa matusi wakati hajui kitu. Ila mkuu kukatika kwa umeme nadhani sio software related labla ungesema ukinunua umeme huupati kwa wakati ningekuunga mkono.Sasa hiyo sofware ya kihindi mbona ndiyo imevuruga kabisa performance ya tanesco? Performance ya tanesco watumiaji wa umeme tunaipima kupitia uwepo wa umeme tunapouhitaji.
Sasa toka 70 bil zisainiwe kulipwa kwa ajili ya software, sasa limekuwa jambo la kawaida kukosekana umeme zaidi ya masaa 48. Na ukirudi, tanesco wanaukata na kukatua zaidi ya mara tano ndani ya saa moja?
Waseme wanachohitaji kihalali tuwape sisi tunahitaji umeme.
tanzania kuna shida nyingo, imagine mbobezi bobevu kama chenge lakini bado mpigaji.... kwenye masuala muhimu tanzania bado saaKwamba watu siriaz hawapo Tanzania na hawajazaliwa?
Asante Mkuu. Sasa ni lini tulilalamika kuwa tukinunua umeme hatuupati kwa wakati? Yaani hela zote hizo 70 bil ni kwa ajili ya kazi hii ambayo kwa software zilizokuwepo ilikuwa inafanyika kwa ufanisi? Nadhani itasemwa kazi nyingine hii uliyotaja haitoshi.umeme nadhani sio software related labla ungesema ukinunua umeme huupati kwa wakati ningekuunga mkono
Sure.Na ndio maana watu wanapuuza sana ushauri,,,kwasabu wanaupata Free...
Ooops! Sijui kwanini nimechelewa kuona notification ya hii post yako...Unaweza kufafanua kwa nini tenda hii ime"stall" toka 2018 lakini imeweza kuwashwa sasa wakati usiyeamini alikuwa mzalendo hayupo? Najaribu kuwa objective katika suala hili.
====
Lile la kuhusu maana ya "bunge kuisimamia serikali" nina imani bado unalifanyia kazi, Mkuu. I trust that you will be back to the matter for me.
Regards,
TUJITEGEMEE.
Sasa labda tuhoji kwanini tenda ilitangazwa mapema wakati kuna mambo yalikuwa hayakamilika, that brings us to point #2 kwamba:-Kwa kawaida, conceptual design and feasibility study (Pre- Front End Engineering Design alias Pre-FEED) inachukua miezi 18 hadi 24.
Baada ya Pre-FEED inafuata Front End Engineering Design (FEED) ambayo inachukua takribani 24 months.
Hapo utaona kuna a total of 4 years!!
Project execution inachukua a maximum of 5 years!!
That having been said, from Pre-FEED na kuanza kuzalisha gas kwa mara ya kwanza... inachukua a maximum of 10 Years!!
Nini kilisababisha project hii isimame mpaka sasa ilivyofufuliwa upya??
You know what I mean, kwahiyo siwezi kupoteza muda kukuelewesha!!Mtu akimponda jk ina maana analinda legacy? Jk haruhusiwi kusemwa?
Hoja za kipumbavu sana, Kwamba mtu alilalamika kurubuniwa na vijana aliowapa kazi ya kutengeneza software hiyo ndio ihalalishe. alafu basi sasa eGA sijui inakazi gani tena, Mana eGA ndio official Consultant wa serikali katika maswala kama hayo.kuna mdau alikuja kulalamika hapa aliwapa wabongo project wamyengenezee software, pamoja na kuwalipa pesa nyingi bado iliwachukua mwaka mzima na project ilipokamilika ilionekana kwamba ni copy and paste, usanii mwingi HIVYO SOFTWARE DEVELOPERS WA KIANZANIA NI VILAZA FIRST GRADE.
Kwa akili yako fupi unahisi kuna kampuni gani ya kitanzania inaweza kufanya kazi ya ushauri kwenye mradi srious kama huu? unajua maana ya 70T wewe? au unakurupuka tuu kuja kulalamika hapa sababu tuu unamiliki iphone macho matatu? Kwa kifupi serious business zinahitaji watu serious.