Mikataba anayoingia Waziri Makamba ina mkono wa mkuu wa nchi? Kwanini hatusikii akiikemea? Wananchi wanabakia kunung'unika Taifa lao kufisadiwa

Ikiwezekana na TANESCO yenyewe ibinafsishwe kabisa, TPA ibinafsishwe kabisa..

Kuna wakati tunalaumu sana hawa Seniours lakini kuna shida sana kwenye jamii yetu inapofika kwenye management and operations ya hivi vitu...
 
Kijana huu mradi umesimamiwa na Tpdc kwa muda mrefu. Tangu utafiti, kulipa fidia wananchi na sasa unatakiwa kutekelezwa.

Unataka kusema Tpdc hawana watalaamu? Kama ni ishu ya kupata makampuni na utalaamu toka nje kwani hatuna nchi marafiki zikatupa msaanda ni kampuni gani zinafaa? Mabalozi huko nje wanafanya nini?

Naomba mtambue hapa kuna upigaji.
Kwahiyo ndugu yangu, kwenye kufanya utafiti kulihitaji negotiations ?
Kwenye kulipa fidia kulihitaji negotiations?

Mimi nadhani kwenye hatua hii ya uwekezaji katika "uvunaji na biashara" ndio kunahitaji negotiations baina ya sisi kama nchi na wawekezaji.
Hapo ndipo tumetafuta watu wa kutushauri ili tusije tukaingia mikataba isiyo na maslahi kwa sababu tu hatuna uzoefu kwenye mambo hayo.

Kama tunaendelea kulinganisha hatua hii ya uwekezaji na hatua zingine za mradi huu (utafiti na fidia) eti kwa sababu tu hatua zote ni hatua za uwekezaji katika sekta ya gesi, basi kutakua na shida kwa kweli mahala katika uelewa wetu.

Ni sawa na kusema tumpe fundi rangi kazi ya kupiga bati kwa sababu hatua zote ni za ujenzi wa nyumba. Sio sawa mkuu.
 
Kuwa Consultant kwenye liproject likubwa kama hilo la LNG unahitaji kuwa na uzoefu wa kutosha sio blah blah maana watu wanaweka hela hapo..na project inainvolve multination companies..
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigital na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa kitanzania au ni ufanisi gani ambaao hawa wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Umesema trilion 70 au bilioni 70
 
Soma majukumu ya PURA na utaona ni kwanini wanatakiwa kuwepo! Anyway, sikumbuki vizuri kuhusu PURA, I wish ningepitia tena upya sheria iliyounda PURA lakini kama kumbukumbu zangu zipo sawa, hawa wamepewa majukumu ya kusimamia Midstream and downstream segments of gas and oil industry.... correct me if am wrong!!

Sasa kama nipo sahihi kwamba watasimamia Midstream and downstream segments, hawa hawatahusika na Upper stream segment kwa sababu wata-deal na local contents ambayo kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta na Gas ya mwaka 2015, hiyo sector inatakiwa kuwa operated na Watanzania wenyewe, ingawaje tukifanya masihara, oil companies kama vile Total and the like, wanaweza kujipenyeza hata huku kwenye Midstream and downstream kwa sababu na kwenyewe kuna pesa sana, na kwenye nchi zingine hizi multinational companies huwa zinajiingiza hadi kwenye Midstream and downstream segments!!

Sijafuatilia hili suala la Makamba kuajiri hiyo hiyo foreign company na kwahiyo sifahamu kama ni kwa ajili ya kuishauri serikali kwenye Upper stream segment au kote kote!!

Kwa ufupi tu majukumu ya PURA wamepewa wazungu.

Waivunje basi hiyo PURA kama wameshindwa kutimiza majukumu yao.

Kazi ya AG ni ipi??

Kwa AG mbona wapo wataalam wa oil and gas??
 
Kwahiyo ndugu yangu, kwenye kufanya utafiti kulihitaji negotiations ?
Kwenye kulipa fidia kulihitaji negotiations?

Mimi nadhani kwenye hatua hii ya uwekezaji katika "uvunaji na biashara" ndio kunahitaji negotiations baina ya sisi kama nchi na wawekezaji.
Hapo ndipo tumetafuta watu wa kutushauri ili tusije tukaingia mikataba isiyo na maslahi kwa sababu tu hatuna uzoefu kwenye mambo hayo.

Kama tunaendelea kulinganisha hatua hii ya uwekezaji na hatua zingine za mradi huu (utafiti na fidia) eti kwa sababu tu hatua zote ni hatua za uwekezaji katika sekta ya gesi, basi kutakua na shida kwa kweli mahala katika uelewa wetu.

Ni sawa na kusema tumpe fundi rangi kazi ya kupiga bati kwa sababu hatua zote ni za ujenzi wa nyumba. Sio sawa mkuu.
Tueleweshane kwanza. Transaction advisor ni nani?
 
U
Ukweli mchungu ni kwamba, Watanzania wenzetu ambao ni Wanasheria huko serikalini huwa wanatuangusha, BIG TIME!!

Mikataba ya kipumbavu kabisa kuwahi kuingia nchi hii kwa miaka ya karibuni ni ule wa IPTL na TICTS! Je, unadhani hatukuwa na hao GNT?!

Amini amini nawaambia, kama nakuwa mtoa maamuzi, kwa uchungu mkubwa kwa baadhi ya mambo naweza kutumia foreign management companies hata kama wenyewe tunao watalaamu kwa sababu we're stupid!!

Na hizi foreign management companies nilishuhudia "kwa macho yangu" ambavyo walii-transform NMB kutoka kuitwa Benki ya Walalahoi hadi kuwa moja ya Benki 3 Kubwa zaidi nchini in terms of assets hadi Mkapa, kama ilivyokuwa kawaida yake, akaamua kuiingiza sokoni kwa hoja eti benki ilikuwa ina-survive kwa ruzuku ya serikali... kauli ilimfanya CEO kumwaga manyanga na kurudi kwao US!

Lakini kwa upande mwingine, tusisahau sisi ni wageni kwenye gas industry, na hii industry ni pana mno.

Je, tuna Wataalamu wanaoifahamu hii industry nyuma mbele, mbele nyuma?! Kwa sababu, hata ukisoma michango ya JF kuhusu gas industry unaona kabisa kwamba watu wana limited understanding kuhusu hii indusry!
Andiko zuri.
Wataalam wa Sheria wanaoifahamu hii sekta ngeni, kwa vyo vyote hawapo kwa sasa.
Kuwapa kazi hii Waingereza peke yao, kutaendelea kutufanya kuwa tegemezi.
Ilitakiwa kuwe na ubia wa hiyo Kampuni ya Uingereza na mojawapo ya Kampuni za Sheria za Kitanzania ili kupata huo ujuzi.
Vinginevyo, tutaendelea kuwategemea wataalam wa nje.
 
Mkuu kufanya survey kwa Gps au Totatl station na kutengeneza mchoro mpaka kampuni ya nje?

Wanasheria kutuangusha huyegemea na mkuu wa nchi.
Mkuu,IKO HIVI,Kama hio teknolojia ipo hapa nchini au kama kuna ambao wanafikiri wanaweza kuwa na TEchnolojia hio basi waende wamuone waziri na kuthibitisha kwamba wanao uwezo na sio ubabaishaji.Naamni kabisa atrawasikiliza.Kuhusu wanasheria Tusidanganyane kadiri mkataa unavokuwa mrefu na vocaulary nyingi ndivyo ambavyo wanasinzia..
 
"SERIKALI IMEINGIA MKATABABA WA HUDUMA YA USHAURI KATIKA MAJADILIANO YA MRADI WA LNG NA BAKER BOTTS YA UK' hebu soma vizuri haya maelezo. Hiyo kampuni wao hawanegotiate, wanaacha nyinyi mjadiliane then wao wanashauri kwa uzoefu wao kwamba ipi ni njia sahihi. Sasa hapa kwetu kuna kampuni gani gani au team ipi ambayo ina uzoefu na LNG project ambayo inaweza kushauri serikali? Watu kama nyinyi ndio Prof. Muhongo alikua anawajibu kunya hadi mnatamani kujiua.
Haijalishi wao kutokunegotiate ila hawatatupa USHAURI WOWOTE ILI SISI TUFAIDIKE. Rais Mkapa alianza kujenga barabara zetu kwa pesa yetu. Nasikia wakandarasi wakwao huko mlikoenda walikatazwa kufanya kazi na wachina walikubali. Wanashangaa mpaka sasa tunendelea na ujenzi na wao wamejiunga. TUACHANE NA HAWA TUKUSANYE WAZALENDO WATATUELEKEZA VIZURI SANA. NI HILO
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigital na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa kitanzania au ni ufanisi gani ambaao hawa wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Kigogo yupo kazi hakuna wa kumkemea

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Makamba na Mama ni kitu kimoja.
Kumbuka Mama alikuwa akivujisha siri za Serikali kwenda kwa Makamba a.k.a kigogo2014.
Mpaka walipokamilisha mradi.
 
Shibe mwana malevya njaa mwana malegeza.

Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.

January ata kama anatamaa sio vile; ni mtu mwenye msimamo.

Ingelikuwa tamaa alizuia uuzwaji wa viroba vyenye thamani ya mabilioni angekuwa na tamaa angetafuta mpambe wake wa kuchukua mabillioni kuwaongezea muda wa kuuza aliokuwa anapanga yeye.

That is to say haya yanayofanyika wizarani kwake sio kwa financial benefit zake; inawezekana wengine ndio wana motives hizo kwa sababu he is clueless on the sector.

The minister ukimsikiliza he is just plain stupid on the energy industry; nitaweka wager ya asilimia 60 maamuzi yake ni ushauri wa ovyo kutoka kws Thabit Jacob mtu ambae aelewi ata increase in energy prices zinaathiri makampuni ya size gani.

Makamba is just an ignorant
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigital na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa kitanzania au ni ufanisi gani ambaao hawa wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.
Hivi ni mikataba gani huwa inatakiwa kupelekwa bungeni?
 
Tony Blair ali seal hii deal.

Kimsingi "hiring" kampuni kama hizi sio shida,. Ni big project inahitaji big firm pia kuishauri serikali sio hawa akina Kabudi.

Hawana hata experience.

Kikubwa na good faith kulinda maslahi ya nchi kwa tozo watakazolipwa.

Shida ni wanasiasa pengine kulazimisha vitu vifanyike kwa maslahi yao katk mazingira ya kushauriwa.
Naona watu wengi wanabeza timu ya akina Kabudi katika hii deal.
Nadhani kuna mahala tunakosa taarifa sahihi.

Kwa niaba ya Tanzania, mazungumzo (negotiations) yatafanywa Government Negotiations Team (GNT) ambayo mkuu wake kwa mujibu wa Rais Samia ni Prof Kabudi.

Kazi ya huyu mshauri, ni kuipa uzoefu, ufahamu na kuijengea uwezo timu yetu hii juu ya namna gani masuala ya uwekezaji wa sekta ya gesi yanafanya kazi.
Hawa washauri wao wana uzoefu mkubwa kwenye sekta hii, tuutumie uzoefu wao ili nasisi timu yetu inapokua kwenye meza ya mazungumzo ifanye negotiations ikiwa well informed ili mwisho wa siku tupate better deal.

Ni sawa na mzaramo anapotaka kwenda kuoa Ukerewe, atamtafuta mzee mmoja wa kikerewe ampe taratibu za kutoa posa huko Ukerewe zikoje. Akishafahamu taratibu hizi, zitamsaidia huyu wazaramo kuweza ku negotiate posa katika grounds zenye mashiko katika tamaduni za kikerewe.
Hapa haimaanishi kwamba mzee wa kikerewe (mshauri) anaoa kwa niaba ya mzaramo.

Ndivyo ilivyo kwenye hili suala la LNG, hakuna haja ya kuibeza role ya Kabudi na timu yake kwa sababu ya huyu mshauri.
Hawa watu wana kazi mbili tofauti zinazoungana kuleta tija ya pamoja.
 
sawa mimi kahaba ila yakupasa upunguze ujuaji mkuu, UKWELI UTABAKI PALEPALE KUA TZ HAMNA SOFTWARE DEVELOPERS AMBAO NI TALLENTED wanachoweza ni copy na bandika basi. Halafu hii issue ya LNG ni kwamba "SERIKALI IMEINGIA MKATABABA WA HUDUMA YA USHAURI KATIKA MAJADILIANO YA MRADI WA LNG NA BAKER BOTTS YA UK" sasa wewe kilaza hebu soma vizuri nilichokiandika halafu kanunue mihogo unywe chai uendelee kuleta ujinga wako mitandaoni..
Hiyo kampuni na ale wanaotaka mladi wote ni wa hukohuko sasa unadhani watajibana wenyewe, kwa nini asingetafuta hata washauli hata china au urusi kuliko kuwafata hao ambao ndio wanataka miradi hiyo kisha wajifunge kamba shingoni?
Mnacheza nyie na jasho la watanzania.
 
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigital na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo watalaamu wa kitanzania au ni ufanisi gani ambaao hawa wahindi watauleta kwa bil 70. Watalaamu wa kitanzania hawapo?

Jana tena kaibuka na kulipatia mkataba kampuni la huko Uk la Barker and Bottis mkataba wa kuwa kuwa mshauri juu ya utekelezaji wa mradi wa gasi ya asili ya Lindi. Mradi ambao una gharama zaidi ya tril 70.

Kama taifa tulishindwa kuwa na Government negotiating team? Hii team ingejumuisha watalaamu wa kila aina na kuokoa pesa nyingi za walipa kodi.

Haya mauzauza na dili anazofanya January Makamba yanaonyesha wazi kabisa yana ruhusa na mkono wa mkuu wa nchi maana alipaswa kuyazuia na kumtumbua mapema kabisa.

Wabunge wa CCM wamejazwa bungeni kwa uchafuzi wa 2020 waambie wahoji hiyo mikataba. Je muulize Kabudi baba wa mikataba yeye anasemaje au kapewa kitengo cha ulaji wa bure.
 
Hiyo kampuni na ale wanaotaka mladi wote ni wa hukohuko sasa unadhani watajibana wenyewe, kwa nini asingetafuta hata washauli hata china au urusi kuliko kuwafata hao ambao ndio wanataka miradi hiyo kisha wajifunge kamba shingoni?
Mnacheza nyie na jasho la watanzania.

Jasho la watanzania?! Kwani hiyo gas ipo kwa jitahidi za watanzania? Au unaoungea usichokijua?
 
Wabunge wa CCM wamejazwa bungeni kwa uchafuzi wa 2020 waambie wahoji hiyo mikataba. Je muulize Kabudi baba wa mikataba yeye anasemaje au kapewa kitengo cha ulaji wa bure.
We jamaa vipi? Hapa tunajadili huyu jamaa madudu anayofanya na kupiga madili habari ya uchaguzi inatoka wapi?
 
Back
Top Bottom