Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

Sawa mkuu,,
Hongera sana
 
unakuta mtu ana elezea kitu kiushabiki experience nacho hana afadhali umemwambia ukweli Uarabuni panachafuliwa sana sababu tu ya Uislam lakini hutasikia wakiongelea wanaokwenda Marekani na Wingereza wengine wanalala chini ya madaraja.
Mimi nipo Saudi mwaka wa 5 huu,,

Nawajuwa vzr sn waarabu especially wa ukanda huu..

Mwanamke mweusi huku ndy mapoozeo ya waarabu,
Wewe kubali au kataa Mimi hainiongezei chochote Zaidi ya kusema ukwl.

Qatar na Dubai ndy penye fursa nzr kwa wanawake.

Jiulize kwann 90% house girls wengi wa Saudia na Oman wanatoka Africa na sio Asia?

Wahindi walishashtuka miaka mingi sn kwa inchi hizi kuleta Dada zao sio,,
Wengi wapo Dubai na Qatar kama house made na sio Saudi wala Oman.
 
Ukifikiria kimasikini kama wewe utakuwa unaesabu mawimbi ya maji[emoji23]
Shauri yako, kwani wewe mgeni Nchi hii !! Hujui kuna watu wanalipwa $100 mwezi mzima huko viwandani ....
 
Shauri yako, kwani wewe mgeni Nchi hii !! Hujui kuna watu wanalipwa $100 mwezi mzima huko viwandani ....


Mama naa usije kufikiri $300 Urabuni ni sawa na $300 Tanzania! kule bei ya vitu ni juu sana. Ushauri wangu jiendeleze kidogo kabla hujaenda kufanya kazi nje... mimi nimeishi nje kwa miaka 25 sasa na najua nacho kiongea.
 
Mama naa usije kufikiri $300 Urabuni ni sawa na $300 Tanzania! kule bei ya vitu ni juu sana. Ushauri wangu jiendeleze kidogo kabla hujaenda kufanya kazi nje... mimi nimeishi nje kwa miaka 25 sasa na najua nacho kiongea.
Sawa boss. Nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Huna lolote bali chuki imekujaa akilini mwako darasa la 7 kulipwa kalibia laki 800 kwa mwezi unaziona ndogo tu?chuki nayo kilema kama vilema vingine
 
Wape wewe kazi angalau uwalipe 50,000/kama utaweza
 
[emoji23][emoji23][emoji23]saivi ni uarabuni tu lol
Haya kaweni mahausigel si hamkusoma?
Wengi wataenda wazanziberi[emoji1787][emoji1787]
Wakenya waneishia saudia kukosha viombo wewe hapo ulipo unashinda kijiweni hata 10,000, upati chuki ni mbaya kuliko ukoma
 
Hiyo ni laki Saba, serikalini Kuna wengi tu mshahara wao haufiki laki Saba, huku mitaani akina dada hawana hata hela ya Pedi...unaandika ukiwa Chali unakuna fungus kwenye korodani
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
$300 ni kwa mtu asiye na mbele ama nyuma ambaye akifika kule anafundishwa, ila Experience Maid wanalipwa hadi $800 na zaidi.

Majority ya house maid wakibongo wanaishia hapo hapo $300 kutokana wanakosa sifa nyingi sana, Wabovu kwenye mapishi, Lugha hamna, Uwezo wao wa housekeeping kiujumla pia ni wakimazoea zaidi. Tofauti na waFilipino wako ki professional zaidi na ndio man wanakula hela ndefu na hata kazi huwa wanafanya kwa masaa maalumu tu.
 
Yaani wanafikiri wanaenda kufanya kazi za ndani na kumaliza jioni
Jamani hivi hawa wajinga waliokubali haya wanajua kazi wanafanya masaa mangapi
Kwanza wanaamka saa kumi alfajiri na wanamaliza kazi saa Sita za usiku hili walilalamika sana wafanyakazi wa Asia kama wafilipino na hata wakenya na nchi zingine
Halafu mziki mwingine wanafanywa ndio pa kupunguzia uchovu kwa mwenye nyumba na siku akipata mimba anafungwa kwa kuambiwa kaipata nje kwa wahindi wafanyakazi wenzie na kufukuzwa nchini
$300 @ mwezi ni utumwa kama mnawauza bure tu
 
Hujui unachokisema kuna wadada wawili walienda kufanya kazi Oman sasa hivi wamejenga nyumba nzuri Arusha. Wewe kaa ufanye kazi bongo utazeeka hujajenga.
Na mimi nimeona wanenguaji Oman kwenye bar wakicheza pia
 
Kaz za ndani qatar na dubai..saudia na oman hapana labda kama washaweka mambo sawa kiserikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…