Wakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.Pia kinachowamaliza hawa Wasanii ni umimi.
Hawana elimu yoyote ya kufanya kazi zao kiweledi zaidi ya kujigamba tu kuwa wana vipaji.
Wafike mahali waheshimu taaluma zitakazowawezesha wafanye kazi nzuri na waone manufaa ya kazi zao.
Hapo sasa.Wakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.
Sasa mfano wakipitia mikataba wakakuta alilipwa vzr watamuuliza hela ilipo?!
Hapo sasa.
Wanaweza kwenda kwenye mikataba wakakuta malipo ni standard kabisa.
Kuna mdau ametaja ishu ya madalali, nimeiona pointi hapa...huenda hata hiyo mikataba yote ya Mzee wasikute sahihi zake.
Anaweza kuwakubali bila ridhaa yake, ingawa sasa hilo ni lake na sio kosa la Kampuni husika.Kama madalali si aliwakubali mwnyw cha muhimu ni kumsaidia tu hiyo issue ya mikataba watamuumbua tu
Marehemu Mzee Small aliumwa mpk akafa hamna aliyemsaidia
Its sad kwakweli, wapitie pia mikataba ya Saida Karoli kama itawezekanaMzee was a money making machine for others to spend.
Ikiwezekana, ila ishu ya mikataba huwa wanajipanga aise.Its sad kwakweli, wapitie pia mikataba ya Saida Karoli kama itawezekana
Hapo Mwakie anafurahisha bunge,mkataba umekubaliwa pande mbili na ukasainiwa na kupongezana kwa kunywa wine,leo hii Mwakie apitie ili iweje,labda hiyo inawezekana kule kwenye mahakama ya usuluhishi,lakini kwa bongo hiyo isha toka.Waziri Mwakyembe amesema hayo bungeni jana, sasa nikajiuliza hivi kama Mtu alishakosea kwenye mikataba itawezekana ku review na kunufaika upya?
Au hao "waliomnyonya" watumie tu uungwana na kumpooza Mzee?
Labda wajaribu tuone, ila kazi ipo kwa kweli.Hapo Mwakie anafurahisha bunge,mkataba umekubaliwa pande mbili na ukasainiwa na kupongezana kwa kunywa wine,leo hii Mwakie apitie ili iweje,labda hiyo inawezekana kule kwenye mahakama ya usuluhishi,lakini kwa bongo hiyo isha toka.
Ukweli ni kalipwa ,hkn asiyelipwa Hawa mbwembwe nyingi, ukiwakuta wamelipwa hivyo vihela vyao wanavyovimba ,utadhani cjui nani sasa ngoja waumwe km hiviWakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.
Sasa mfano wakipitia mikataba wakakuta alilipwa vzr watamuuliza hela ilipo?!
Jamani mwenye sample ya mkataba wa msanii atuwekee hapa ili tujue madhaifu yaliyomo. Unaweza ficha majina yaliyomo ili isiwe shida kwa wahusika.Wasanii hawapeleki mikataba kwa wanasheria kabla ya kusaini wao wanaangalia kilichopo mezani tu
Jamani mwenye sample ya mkataba wa msanii atuwekee hapa ili tujue madhaifu yaliyomo. Unaweza ficha majina yaliyomo ili isiwe shida kwa wahusika.Wasanii hawapeleki mikataba kwa wanasheria kabla ya kusaini wao wanaangalia kilichopo mezani tu
Wanaweza wakague na waikute ipo sawa tu, kwa sababu si watakwambia waliridhiana ndio wakafanya kazi.Naomba waipitie na ya Saida Kalori na Mjomba Mutta
Hilo kwa Bongo Nyoso ngumu kutekelezeka maana sahiz inafanyika vice versa msanii ndio anatoa mrahaba wimbo wake kupigwa Redio /TVSerikali ipiganie hali miliki ,kazi za wasanii zikiruka ktk TV au radio wapate mrabaha ,hii ya mikataba ya matangazo wanasaini wakiwa wazima na akili timamu
Hela wakipata wanakula bata,nyodo mitaa wakianza kuumwa wanakuja kusumbua watu tuwachangie
Duh, ila hilo si la kufurahisha hata kidogo.Wanajifurahisha tuu, huyu Mzee majuto akipigiwa simu kuna laki 5 hapa tangazo halichukui hata Siku mbili, anafunga safari toka Tanga fasta, hasaini hata mikataba