Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Wakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.Pia kinachowamaliza hawa Wasanii ni umimi.
Hawana elimu yoyote ya kufanya kazi zao kiweledi zaidi ya kujigamba tu kuwa wana vipaji.
Wafike mahali waheshimu taaluma zitakazowawezesha wafanye kazi nzuri na waone manufaa ya kazi zao.
Sasa mfano wakipitia mikataba wakakuta alilipwa vzr watamuuliza hela ilipo?!