Mikataba ya kazi za Mzee Majuto kupitiwa upya

Mikataba ya kazi za Mzee Majuto kupitiwa upya

Pia kinachowamaliza hawa Wasanii ni umimi.

Hawana elimu yoyote ya kufanya kazi zao kiweledi zaidi ya kujigamba tu kuwa wana vipaji.

Wafike mahali waheshimu taaluma zitakazowawezesha wafanye kazi nzuri na waone manufaa ya kazi zao.
Wakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.

Sasa mfano wakipitia mikataba wakakuta alilipwa vzr watamuuliza hela ilipo?!
 
Wakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.

Sasa mfano wakipitia mikataba wakakuta alilipwa vzr watamuuliza hela ilipo?!
Hapo sasa.

Wanaweza kwenda kwenye mikataba wakakuta malipo ni standard kabisa.

Kuna mdau ametaja ishu ya madalali, nimeiona pointi hapa...huenda hata hiyo mikataba yote ya Mzee wasikute sahihi zake.
 
Hapo sasa.

Wanaweza kwenda kwenye mikataba wakakuta malipo ni standard kabisa.

Kuna mdau ametaja ishu ya madalali, nimeiona pointi hapa...huenda hata hiyo mikataba yote ya Mzee wasikute sahihi zake.

Kama madalali si aliwakubali mwnyw cha muhimu ni kumsaidia tu hiyo issue ya mikataba watamuumbua tu

Marehemu Mzee Small aliumwa mpk akafa hamna aliyemsaidia
 
Matatizo mengi yanaanza kwa Wasanii wenyewe.

Ukiangali sasa hivi hata umoja/vyama amnavyo ndio sehemu yao kuu ya kupaza sauti ni tia maji tia maji, huyu yuko huku huyu yuko kule.

Huko kwingine Duniani vyama/umoja ndio hupigania maslahi pale ambapo Msanii anahisi kupunjwa au kudhulumiwa, ila hapa kwetu kuna chama gani kimesimama zaidi ya kila Msanii kujiona yeye ndio yeye.
 
Kama madalali si aliwakubali mwnyw cha muhimu ni kumsaidia tu hiyo issue ya mikataba watamuumbua tu

Marehemu Mzee Small aliumwa mpk akafa hamna aliyemsaidia
Anaweza kuwakubali bila ridhaa yake, ingawa sasa hilo ni lake na sio kosa la Kampuni husika.

Labda serikali au chama/umoja/shirikisho la Wasanii (kama wanayo) waje na system ya kuhakikisha kila malipo anayopewa Msanii inakatwa kiasi cha kupeleka kwenye mifuko ya hifadhi za kijamii..ili inapotokea kama hivi wanaenda tu kule na kukuta mafao yapo tayari.
 
Waziri Mwakyembe amesema hayo bungeni jana, sasa nikajiuliza hivi kama Mtu alishakosea kwenye mikataba itawezekana ku review na kunufaika upya?

Au hao "waliomnyonya" watumie tu uungwana na kumpooza Mzee?
Hapo Mwakie anafurahisha bunge,mkataba umekubaliwa pande mbili na ukasainiwa na kupongezana kwa kunywa wine,leo hii Mwakie apitie ili iweje,labda hiyo inawezekana kule kwenye mahakama ya usuluhishi,lakini kwa bongo hiyo isha toka.
 
Labda wajaribu tuone, ila kazi ipo kwa kweli.
 
Serikali ipiganie hali miliki ,kazi za wasanii zikiruka ktk TV au radio wapate mrabaha ,hii ya mikataba ya matangazo wanasaini wakiwa wazima na akili timamu

Hela wakipata wanakula bata,nyodo mitaa wakianza kuumwa wanakuja kusumbua watu tuwachangie
 
Wakati tunamuona mzee kwny tv matangazo kibao wengi tulijua ana akiba ya uzeeni nzuri.

Sasa mfano wakipitia mikataba wakakuta alilipwa vzr watamuuliza hela ilipo?!
Ukweli ni kalipwa ,hkn asiyelipwa Hawa mbwembwe nyingi, ukiwakuta wamelipwa hivyo vihela vyao wanavyovimba ,utadhani cjui nani sasa ngoja waumwe km hivi

Halafu Hawa sina wanachama chao?wasanii huko huwa hawakati bima hata ya vikundi?
 
Naomba waipitie na ya Saida Kalori na Mjomba Mutta
 
Wasanii hawapeleki mikataba kwa wanasheria kabla ya kusaini wao wanaangalia kilichopo mezani tu
Jamani mwenye sample ya mkataba wa msanii atuwekee hapa ili tujue madhaifu yaliyomo. Unaweza ficha majina yaliyomo ili isiwe shida kwa wahusika.
 
Serikali ya Kipumbavu sana hii...
Halafu eti uyo waziri ni "mbobezi wa sheria"

Sijui hao wanafunzi wake watakuaje?

Kwenye mkataba kuna kitu kinaitwa CONSIDERATION...mjomba unaambiwa hivii "consideration needs not be adequate but sufficient"

Sasa kama huyo majuto alimua kuingia mkataba kwa njaa zake akawa analipwa kidogo ...trust me there is nothin this legal system can do mana haijalishwi umelipwa kiasi gani so long as umelipwa kidogo na ukaridhia well hakuna tatizo....mayb aprove kulikua na duress? Coercion o somethin otherwise hata huyo John Pombe hana mamlaka ya kupitia mkataba ambapo yeye sio mmoja wa pande za mkataba!

Sasa huyo mwakembe si anajitia ni mjuzi wa sheria...anaupitia mkataba kama nani hasa yanii?
Hajui ishu ya privity?

Inasikitisha sana hii nchi
 
Serikali ipiganie hali miliki ,kazi za wasanii zikiruka ktk TV au radio wapate mrabaha ,hii ya mikataba ya matangazo wanasaini wakiwa wazima na akili timamu

Hela wakipata wanakula bata,nyodo mitaa wakianza kuumwa wanakuja kusumbua watu tuwachangie
Hilo kwa Bongo Nyoso ngumu kutekelezeka maana sahiz inafanyika vice versa msanii ndio anatoa mrahaba wimbo wake kupigwa Redio /TV
 
Wanajifurahisha tuu, huyu Mzee majuto akipigiwa simu kuna laki 5 hapa tangazo halichukui hata Siku mbili, anafunga safari toka Tanga fasta, hasaini hata mikataba
Duh, ila hilo si la kufurahisha hata kidogo.

Ndio ile inasemwa uchawi wa madalali.

Unakuta kuna Mtu tayari ameingia dili, alafu yeye ndio anamtafuta Mzee kwa kumpiga kiswahili basi Mzee wa watu anakuja tu..
 
Hili suala ni very tricky kutokana na mifumo mibovu na kukosekana kwa Entertainment Lawyers.

Tukianza upande wa filamu, Mwigizaji akishapewa chake; biashara inaishia hapo na kinachobaki kwake, sana sana ni CREDITS tu!

Credit ni Fahari tu and of course, kwa Off-camera crew members (Mwigizaji hana tatizo), Credit inasaidia kukupa michongo cku za usoni.

Kingine cha kutarajia labda filamu husika ishiriki tuzo ambayo pia inatoa pesa kama zawadi na Mwigizaji awe ameshinda!

Kukosekana kwa Entertainment Lawyers kunasababisha Waigizaji (and other crew members) wakose baadhi ya benefits.

Benefit ya wazi kabisa ni Bonus!

Kwenye Matangazo, sifahamu system ya Kibongo inafanyaje! Kwa wenzetu, wao pia huwa na bonus endapo mauzo yanaongezeka kutokana na influence ya tangazo lako.

All in all, what matters ni kwamba Mkataba ulisemaje!! Kuna uwezekano mkubwa hana cha kudai
 
Back
Top Bottom