Mikate bora zaidi Tanzania

Ukutane na superloaf mlainiiiii, slices uzipake blueband kisha pembeni una chai ya maziwa yenye viungo...

Alooooooo.........mapenzi yanauma nyie.
 
AhahahahhaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili neno LIKITOKOTA umeliokotea wapi mwamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hiyo ipo kuna bosi wangu wa kizungu hutumia anasema ina virutubisho zaidi ni kama dona.
Pia hutumika sana kuongeza " nguvu"
Kuna ulazima gani wa kuweka "" kwenye neno nguvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa alubati unaanza zingua
 
Ni kweli mkuu chapati marage au chapati supu.

Ila huku mtaani kwetu huyu maza anatulisha chapati marage usiku
Yeah kweli kuna yule na timu yake wapo pale Mawasiliano karibu na soko yeye anafungua kuanzia jioni tu

Oyaa wana masotojo kama yote. Supu za kila aina, maandazi, mihogo, chapati, vitumbua, ndizi, mihogo, ukitaka wali, ugali nyama choma

Kuna watu wabunifu aisee wa biashara. Na watu wanajaa mpaka viti vinaisha vya kukaa wateja
 
Hiyo ipo kuna bosi wangu wa kizungu hutumia anasema ina virutubisho zaidi ni kama dona.
Pia hutumika sana kuongeza " nguvu"
Nguvu zipi fafanua mkuu, wengine tunazitaka sana zile nguvu za naniliii km ndo inaongeza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oyaa akili tuu mjini hapa...
Huyo anapata wateja kama wote an
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…