Mikate bora zaidi Tanzania

Hiyo ipo kuna bosi wangu wa kizungu hutumia anasema ina virutubisho zaidi ni kama dona.
Pia hutumika sana kuongeza " nguvu"
"Nguvu" kazia hapo,ukiishikilia hiyo kutajirika ni uamuzi wako tu, somba yote,leta hapa bongo, uza nguvu,mikate inageuka kifungashio tu.
 
Kuna mikate ya tz na kuna mikate ya uganda .asee u Nationality pembeni waganda wana mikate flani ivi hatari
 
Kuna mkate mwanza unaitwa tiktok bei yake imesimama na ladha yake ni kama tiktok
 
""Oya vipi mazingira """

Sasa wengine ukituambia hvo tutakujibu " mazingira ni kitu chochote kinachomzunguka binadamu""" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 kuna mwanangu anaupenda huo msemo

Mwingine utamsikia "oyaa vipi kimeruka?"
 
Nilipita Dodoma Nako Oops Kuna Mkate Unaitwa Gloria Upo Wa Maziwa Na Vanilla
Ukinywa Upo Sawa Una Ladha Hatari
 
Sasa macho cha afya kina ghalama mkuu
Mkuu siyo gharama. Ni rahisi sana kwa bei. Ni ladha yake mbaya sana. Inatengenezwa na hizi nafaka za Rye, oats na hata ukitaka unaweza kutumia mtama au ulezi. Ni kama dawa kwa ladha japo unaweza kupaka vitu kama siagi au cheese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…