Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

Nimekuta gumza Jana hapa mpakani mwa Tanzania na Kenya kuhusu huyo mzungu pitani aliyowafanyia "madada "poa wa Kenya !!!kama ni kweli basi hii ni hatari kubwa sana na nisomo kwa hawa sex workers kuacha kujiingiza kichwa kichwa kwa hawa watu weupe wakidhani ni watu salama
IMG-20200826-WA0000.jpg
View attachment 1549250
IMG-20200826-WA0001.jpg
IMG-20200826-WA0003.jpg
 
Hii ndiyo maana halisi ya ubeberu, kauli ambayo hupendwa sana kutumiwa na wanasiasa.
 
Huyo mzungu kichwan hamna ktu kwa kujamiana tu huwez kuambukiza ukimwi watu wote unaotembea nao,hapo unaweza kuta aliowaambukiza hawazid kumi,virusi vya ukimw sku hz havna nguvu
Wazungu wengi hula tiGo , kwa namna yoyote lazima namba iwe kubwa.
 
Hii ndo inatokea pale mwanamke akiwa cheap

Ndo mana zamani wanawake alilindwajamii zote thamani yake isishuke.

Ukiweza kushusha thamani ya mwanamke jamii inakuwa hatari zaidi kuliko thamani ya mwanaume ikishushwa...

Umeongea kwa nguvu sana,

Mwanamke ni kiumbe cha thamani sana, lakini leo hii either wenyewe wamejifanya cheap au jamii imewafanya cheap... Huu urahisi na uholela kwa hawa mama zetu unawaletea shida na kugeuka kuwa kiumbe kinachodhauliwa na jamii..

Kuna baadhi ya mashetani yanawadanganya kale kidude ndio mtaji wao sasa dah umekuwa mtaji kweli kwa wasiojielewa na kujikuta wanawake kuwa ndio viumbe walio kwenye risk sasa..

Kimaumbile, mwanamme ameumbwa kupambana na makazi magumu na taabu zote kuijenga dunia na kuleta mkate mezani, Mwanamke ameumbwa kufanya vitu vyepesi vyepesi na kujipatia naye mahitaji yake, Slogani ya haki sawa imepumbaza jamii na kufanya mwanamke aachwe naye apambane kama Mwanaume na kufanya wanawake wengi kushindwa kuzifikia fursa na kupata ridhki ya kila siku matokeo yake katika ule ule udhaifu walioumbwa nao wameigeukia kazi rahisi kwao kwa wingi aka kuuza mbunye na kujirahisisha...hapo shida ndipo inapotokea sasa..
 
Ishu sio kuwaambukiza tu, ila ni vile wanawake weusi, si vischana au watu wazima wanavyokua rahisi kwa mtu yeyote ile ilimradi ni mzungu, mchina, muhindi, mwarabu.

Tunashuhudia mitaani mara nyingi wazungu wazee na mgongo umepinda, anakabinti keusi na wanaitana wapenzi. Mungu tunaoma tunusuru sisi watu weusi, utusaidie tuanze sas kutumia akili zetu wenyewe.
Kwan hakuna vibabu vyeusi vinatembea na vibinti?? Halafu mapenzi hayaangalii gender, age wala race ya mtu, as long as wamependana ni sawa.
 
Nimekuta gumza Jana hapa mpakani mwa Tanzania na Kenya kuhusu huyo mzungu pitani aliyowafanyia "madada "poa wa Kenya !!!kama ni kweli basi hii ni hatari kubwa sana na nisomo kwa hawa sex workers kuacha kujiingiza kichwa kichwa kwa hawa watu weupe wakidhani ni watu salama View attachment 1549249View attachment 1549250View attachment 1549252View attachment 1549251
Sex worker atachaguaje, ni pesa ndio inaongea, wala hawajajiingiza kichwa kichwa walikua kwenye majukumu yao ya utafutaji, kwani na nyie mpo salama?
 
Nipo hapa kijiji bar & grill karibia na Mza hotel ,opposite na pizzeria pia Iko karibu na gold crest kuna Dada hapa wa kikwetu yupo na kizee hapa cha kiZungu ila namhurumia sana. Binti ni mdogo anapita hapa mbuzi,kuku choma na ugali na bia zao Serengeti MIE nimechili na maji Yangu makubwa tu. Yaani hii mijamaa itatuulia sana wadada zetu. Hivi huwa hawapimwi ukimwi wanapokuja kwetu jamani. Na huku kwao tukienda kwanza mnawekwa kama lock up Fulani ama lock down ili mfanyiwe check up ya afya miwili mzima ,kama una shida unarudishwa kwenu. Hii haifanyiki kwao ama wao ni malaika ama tunawaogopa
 
Halafu unakuta kuna fala anamsema vibaya huyu baharia na kutetea hao wanawake.
Kosa ni hao wanawake na sio huyu baharia, huyu baharia hana kosa.
Hao wanawake ni wake za watu, wachumba za watu na wapenzi wa watu ila tamaa zao za pesa ndio zimewaponza wamevuna walichopanda, huyu baharia hakuwabaka bali walielewana.
Halafu huyu ni amefanya tu kutangaza aliyoyafanya, je asingetangaza tungejuaje?
Maana yake kuna wengi wenye UKIMWI wamekuja Africa kuusambaza, tena wametembea na wanawake wengi tu hata zaidi ya idadi ya Oliver ila hawajajitangaza.
Na sio wazungu tu, hata waafrika wengi tu wanasambaza UKIMWI kwa kutumia pesa. Pesa ndio inayosababisha wanawake wengi kuliwa tigo, kuzalishwa hovyo, kupewa UKIMWI, na kuaibishwa hovyo tu kama hivyo.
 
Hatari sana hii......natumaini hakufika Tanzania.........
Alikamatiwa Namanga - akielekea Tanzania. Angevuka Mpaka, Arusha, Moshi Na Dar kungewaka Moto. Haswa wale wanaopenda kwenda pale Cape Town Fish Market - wangeliwa sana pale.
 
Back
Top Bottom