The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Mike Oliver ni mzungu aliyefanya mapenzi na wanawake zaidi ya 50 huko nchini kenya na kudhibitisha kuwa ni muathirika wa UKIMWI na wakati akishiriki nao mapenzi hakutumia kinga. Taarifa zinasema alikamatwa na polisi mpakani namanga baada ya kuuanika ukweli huo alitaka kukimbilia Tanzania. FUNZO; akina dada kuweni makini, msione mzungu na kujirahisisha na kugawa papuchi ovyo bila hata kuvaa condom. Mike oliver anakiri ilikua ni rahisi kupata wanawake kenya kwani wanapenda pesa, hivyo alitumia pesa kuwapata na kuwagegeda kisha kuwaambukiza ngoma.