Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwanini ushikilie Israel inaweza kumezwa na Palestina kwani wao Palestina hawawezi kumezwa na Israel?Sio lazima wawe taifa,,Tanzania yenyewe miaka 200 ijayo haitakuwa kama hii ya leo,
Populationwise israel inaweza jikuta inamezwa na palestine miaka hiyo,,yaani nature,natural selection ndo itaamua
Angalia wakati huu ardhi ya Jerusalem mashariki,Hebron,ukingo wa magharibi ambayo walowezi wa kiyahudi wamenunua na wanaendelea kununua toka kwa Wapalestina na kuwahamisha kwa nguvu ili kuendeleza makazi yao, utasemaje huenda wakamezwa.