Mike Pompeo afanya ziara ya hasira Israel, atoa ya moyoni


Sina utaalamu na biblia lakini hiyo ibara ya Joshua 1:4 haikukaaa kilugha ya Mungu,imekaa kama ndoto fulani hivi ya mtu aliyepata Maruweruwe.Au inaweza kuwa lugha ya kisasa sana ya mwalimu wa Jiografia anayeziangalia nchi baada ya mkutano wa Berlin.
 
Kwasababu waisrael hawazaliani sana kama wapalestine,wale wanamaintain family planning
 
Tu assume unaongelea saud arabia,,hawa watu wamewekeza sana kwa makampuni ya magharibi,,mfano twitter,shareholder mkubwa pia ni tajiri wa saud,,hawa watu wananunua sana hisa makampuni makubwa,na sasa wanajitahidi kuanzisha viwanda kwa kasi,
 
Kwahiyo mwenyezi Mungu akakasirika lakini adhabu sio leo Wala kesho ila siku ya kiama 🤣🤣🤣🤣🤣

Mtaibiwa hadi lini?
 
Jamaa anadai Mungu aliongea mwenyewe kupitia kinywa chake.
Kana kwamba alikuwa shuhuda wa hicho alichoandika. Afrika hiyo mkuu
 
Huyo mungu wenu angekuwa na nguvu si angewasaidia wapalestina tangu zaman[emoji522][emoji521][emoji3][emoji41][emoji534][emoji526][emoji523][emoji1647][emoji1648][emoji1649]Tatizo lako hujielewi ungejielewa ungejua Mungu ni mmoja tu.
 
Huenda Mungu anamwaandaa kuwa mkuu wa malaika.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hili taifa lilionewa sana, mpaka likapotea kabisa. Likaanza kujikusanya tena 1947, miaka 20 baadae nchi za kiarabu zikaungana ili kulipiga mande, likapigana mpaka tone la mwisho likashinda. Linajua lilipokosea mwanzoni na halitaki tena kuruhusu hayo yatokee.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Story za kutunga hizi, hakuna cha ndege kutoka kuzimu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…