Sababu kubwa ni nini?black americans wengi wanaamin kwamb wao n muslims in nature..
black americans wengi wanaamin kwamb wao n muslims in nature..
Sababu kubwa ni nini?
WALIFANYWA WATUMWA NA WAKISTO, ILA LABDA HAWAJUI UTUMWA WA MWARABU ULIKUA MBAYA ZAIDISababu kubwa ni nini?
Hahaa labda walikuwa wanajaribu kitu kipya maana huko America ukristo umesambaa sanaKwasababu ni confused, hata wakina Malcolm X na Mohamed Ali before walichulia uislam kama una uhusiano flani na uafrika kumbe wamebugi.
WALIFANYWA WATUMWA NA WAKISTO, ILA LABDA HAWAJUI UTUMWA WA MWARABU ULIKUA MBAYA ZAIDI
Hata mimi nasubiri jibuSababu kubwa ni nini?
Hahaa labda walikuwa wanajaribu kitu kipya maana huko America ukristo umesambaa sana
Ya kwamba waafrika ni muslim in nature?Mbona ukristo na uislamu tumeletewa na wazungu pamoja na waarabu.IMANI
Hahaha IMANI ni kitu chenye nguvu sanaWalibugi vibaya vibaya mkuu, angalia hata sababu yake ya kubadili jina kutoka Casuius Clay kuwa Mohammed Ali ni kwamba alichukulia hili ni kama jina la kiafrika.
Kwenye swala la IMANI huwezi kumlazimisha mtu akufuate