Mike Tyson ndani ya Hijja mola amjalie kheir

Mike Tyson ndani ya Hijja mola amjalie kheir

WALIFANYWA WATUMWA NA WAKISTO, ILA LABDA HAWAJUI UTUMWA WA MWARABU ULIKUA MBAYA ZAIDI

Ndio ukae ukijua kuna waafrika wengi, tena wengine wasomi na matajiri lakini bado wana utumwa wa akili .
 
Kwasababu ni confused, hata wakina Malcolm X na Mohamed Ali before walichulia uislam kama una uhusiano flani na uafrika kumbe wamebugi.
Ndo mwisho wa mtazamo wako
 
Hahaa labda walikuwa wanajaribu kitu kipya maana huko America ukristo umesambaa sana

Walibugi vibaya vibaya mkuu, angalia hata sababu yake ya kubadili jina kutoka Casuius Clay kuwa Mohammed Ali ni kwamba alichukulia hili ni kama jina la kiafrika.
 
Ya kwamba waafrika ni muslim in nature?Mbona ukristo na uislamu tumeletewa na wazungu pamoja na waarabu.
Sisi waafrika imani yetu ilikua ni kuabudu vitu vyetu vya asili mfano,miti mikubwa,jua n.k
 
Walibugi vibaya vibaya mkuu, angalia hata sababu yake ya kubadili jina kutoka Casuius Clay kuwa Mohammed Ali ni kwamba alichukulia hili ni kama jina la kiafrika.
Hahaha IMANI ni kitu chenye nguvu sana
 
Ya kwamba waafrika ni muslim in nature?Mbona ukristo na uislamu tumeletewa na wazungu pamoja na waarabu.
Sisi waafrika imani yetu ilikua ni kuabudu vitu vyetu vya asili mfano,miti mikubwa,jua n.k
Tulichelewa kujitambua[emoji120]
 
Back
Top Bottom