Kama upo dar kuna mdau anazo yupo mbagala nae yuko poa sana!Mtafute jamaa anaitwa Internal atakusaidia. Mimi nilinunua toka kwake aliniagizia kwa gari
Mkuu kama wameweka na leo usisahau kuzitupia turuke nazoWAZEE WA BASKET MPOOOView attachment 1050033
Mpwaa shusha tips za hii kitu kwa game za usiku wa leoWAZEE WA BASKET MPOOOView attachment 1050033
Dah! Nilivyoona hii roho yangu imepasuka paaah.. Nikakumbuka zile za tarehe 18![emoji16][emoji16][emoji16]WAZEE WA BASKET MPOOOView attachment 1050033
LdnMpwaa shusha tips za hii kitu kwa game za usiku wa leo
jamn mwenye group aweke link nimechoka kila Siku kanji ananipapasa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mdau ameona hii kitu
Download VPN toka playstore (mimi nilitumia HolaVPN) kisha kupitia hii VPN download app ya 1xbet.ke then fanya registration kwa line yako ya safaricom...kazi imeishaWakuu, Naomba ufafanuzi wa jinsi ya kuitumia Safaricom kuDeposite 1xbet.
Nasikia kuna mambo ya VPN, Ingawa hata VPN siijui ni nini? Nasikia kuna kuCheat location, lakini sijui nafanyaje fanyaje!?!?
Maelezo please wadau.
Thanks in advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa MPWA HIZI ZIWEKEE KUMI DAILY 1-4 AAMA 1-3 WAKIFELI MARANYINGI 2TIMES OR THREE..NA ODDS ZAO FRM 3+ SO UKIPIGA KWA WIKI N PROFITDah! Nilivyoona hii roho yangu imepasuka paaah.. Nikakumbuka zile za tarehe 18![emoji16][emoji16][emoji16]
Unakwama wapi mkuu?plz mwenye njia mbadala wa kudioisit betpiwer aniaelekeze tofauti na kina voda na tigo.plz,ata viza imenigomea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa yapo.Nahisi magoli ya kutoshaView attachment 1050080