Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Noted mkuu.. Asante.Hahahahaaa MPWA HIZI ZIWEKEE KUMI DAILY 1-4 AAMA 1-3 WAKIFELI MARANYINGI 2TIMES OR THREE..NA ODDS ZAO FRM 3+ SO UKIPIGA KWA WIKI N PROFIT
Hii tip kuna mtu aliitupia hapa nikatambaa nayoView attachment 1050088
OkKwa mfano apo Toto ya football INA gemu 15 na unabeti kwa 1500 bonus unapata kuanzia mechi 9
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Mkuu, Ngoja nikafate Steps.Download VPN toka playstore (mimi nilitumia HolaVPN) kisha kupitia hii VPN download app ya 1xbet.ke then fanya registration kwa line yako ya safaricom...kazi imeisha
Nahamia Most Bet! Wamejiharibia wenyewe. Hakuna platform iliyonakili ushenzi wao.Tazama hawa wasengerema na wanyegezi Premierbet wameondoa mechi za wiki wameacha mechi za siku moja tu!. Ngoja nisepe zangu Meridian.
View attachment 1050098
Nasikia wapo kwenye marekebisho ya Website yao, wanataka kuweka mpaka Turbo.Tazama hawa wasengerema na wanyegezi Premierbet wameondoa mechi za wiki wameacha mechi za siku moja tu!. Ngoja nisepe zangu Meridian.
View attachment 1050098
Dinner savedNahisi magoli ya kutoshaView attachment 1050080
Sijaona kitu kama icho kwanguKwa mnaotumia safaricom hili tatizo kuna yeyote alipata? MsaadaView attachment 1050110
Sent using Jamii Forums mobile app
Most Bet unajiungaje mkuu? Maana naona hawa miknd wamenichefua!Nahamia Most Bet! Wamejiharibia wenyewe. Hakuna platform iliyonakili ushenzi wao.
Wakifanya hivyo nitabakia ila kama wakifanya ushenzy wa kuondoa timu za wiki nitawakimbia faster. Kumbaf zao!!!!Nasikia wapo kwenye marekebisho ya Website yao, wanataka kuweka mpaka Turbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuna uhakika wowote kwenye hizi game nataka nicopy and paste