Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi Hizi Milioni 500+ Za Sportpesa Jackpot Watu Wameshindwa Kabisa kupita Nazo??
 
Hizi za Leo wadau.......
IMG_20190324_091639.jpeg
IMG_20190324_091619.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliwahi toa hela 1xbet kupitia UBA bank?
Ilitumia muda gani kufika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu mna matatzo sana, kampuni za hapa tanzania ni nying mno tena nyingine kama princesa bet, pari match hawakati kodi, na kutoa pesa ni dk5 tu ..

Lakini mtu na akili timamu kabisa unaanza kuhangaika na 1xbet sijui kutoa ela kwa UBA bank,.

Mbona kuna watu mnapenda shida kiasi hicho.????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mna matatzo sana, kampuni za hapa tanzania ni nying mno tena nyingine kama princesa bet, pari match hawakati kodi, na kutoa pesa ni dk5 tu ..

Lakini mtu na akili timamu kabisa unaanza kuhangaika na 1xbet sijui kutoa ela kwa UBA bank,.

Mbona kuna watu mnapenda shida kiasi hicho.????

Sent using Jamii Forums mobile app
aiseee bora unge kaa kimya tu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda wapo vzr sana sijui kama tutafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitoe tu ushuuda ,kuna vitu huwa vikiingia kichwani sana baadae huwa ninapata matokeo kwa kutumia ndoto,imekuwa ikinitokea tangu nikiwa mtoto ila mara nyingi ndo huwa inakuwa kweli.

Labda kutokana na madhambi mengi tunayoyafanya hapa duniani ndo hali hii inapotea,ila kiufupi huwa naota ndoto hasa wakati wa usiku juu ya jambo moja au jingine na matokeo yanafatana na ndoto hiyo,kwa mfano mara kwa mara tukiwa na mgonjwa hasa wa karibu i mean wa familia,ndugu au jamaa,na ikatokea akatibiwa kwa mda na kwa gharama na watu wakawa njia panda hali hawajui kama atapona au laa,basi mimi huwa naiona ndotoni na huwa nawaambia kabsa kuwa fulani atapona au hatapona,na kweli hutokea ivo ,yani hata alikuwa na hali mbaya mwisho wa siku anarecover au hata hali yake ilikuwa si mbaya sana ila huwa nawaambia tu kuwa si rahisi kwa muhusika kupona.
Na wakati mwingine huwa na hisi si vyema kuwaambia hasa kama ni negative results na piga kimya tu na kitu kinafurumia kweli .

Sasa kwa leo nimeiona hii kitu,imetokea eti mechi inaendelea kati ya tz na ug ,kipindi cha kwanza tu tukawa tumeshapigwa 2-0,watu wakawa wamepoa sana uwanjani utazani hakuna mtu ,na watangazaji wa redio wa tz wakaacha kuutangaza mpira kutokana na sonono ,yaani wakaacha zile mbwembwe za makelele yao wakawa wametulia tu wakakosa cha kujitapa,

Sa hii kwa kawaida yangu ni ishara nzuri ,ina maana ushindi kwetu upo na hatutasononeka na tutatoka na magori + ushindi juu,

Acha tuone lakini huwa inatokea hivyo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mna matatzo sana, kampuni za hapa tanzania ni nying mno tena nyingine kama princesa bet, pari match hawakati kodi, na kutoa pesa ni dk5 tu ..

Lakini mtu na akili timamu kabisa unaanza kuhangaika na 1xbet sijui kutoa ela kwa UBA bank,.

Mbona kuna watu mnapenda shida kiasi hicho.????

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kampuni nzuri ya kubetia inayozidi 1xbet ndugu yangu na rahisi sana kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye swala la option nyingi labda ndo ziko tofauti lakni suala la kubeti magoli au direct Winn , kuweka na kutoa pesa betpowa Haina tofauti yoyote na 1*bet nmetumia zote hvyo nazijua vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida tuliyonayo waafrika ni moja tu. Tumekariri maisha kuwa ktu Cha mzungu n Bora kulko Cha mwafrika . Mtu anayo buku yake eti anataka aangaike Hadi apate 1*bet utadhan Ana stake milion kampuni ziko nyingi Sana na waaminifu Sana meridian,betpowa,m-bet, premer,pricence , play master, na nyingine nyingi mtu hataki anataka 1*bet shida n kukariri tu hamna tatzo lingine kwa waafrica

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jackpot nayo wataiweka kwenye simu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Sana. Premer n kampuni nzuri Sana shda waliyonayo ni 2 tu nazo ni Kama umebet magoli tuseme over 1.5 na yameshapatikana hawakucash out pesa yako eti mpaka mechi nzima iishe, pili hii tabia ya kuwithdraw pesa inakaa masaa au Kama n wk end mpaka j3 hyo ndo madhaifu makubwa waliyo nayo. Ebu waige wenzao betpowa ukila tu mechi imeisha haijaisha tayar pesa yako kwenye walett, umewithdraw hujatoka hata kwenye app yao tayar iko kwenye m-pesa au tigo pesa au Airtel money chapu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom