Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani mkeka umechanika

Sent using Brain

Sio mkeka huo boss,,angalia vizur picha hiyo niloweka.....hapo nilikuwa nawithdrow hela sasa cha ajab hela haijaja na na kwenye history ndo nimeandikiwa hivyo!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
WAKUU MSAADA JINSI YA KUANGALIA MKEKA ULIO BET KWENYE PREMIER MAANA NIKIINGIA KWENYE PLAYER HISTORY NI KI CLICK HAUJI
 
aisee premierbet mi sjawaelewa kabisa nikifngua website yao naona 1000 tsh kwa juu nkitafta timu ili nibet sizipat kwa mfano basketball inazunguka tu nkijarb hata jackport ndo kabisa hayafunguki

in short wanabore aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mkeka huo boss,,angalia vizur picha hiyo niloweka.....hapo nilikuwa nawithdrow hela sasa cha ajab hela haijaja na na kwenye history ndo nimeandikiwa hivyo!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Salio lako umeangalia?
Wameitoa hiyo hela uliotaka kuwithdraw?

Umejaribu kuwasiliana nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…