Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WAKUU MSAADA JINSI YA KUANGALIA MKEKA ULIO BET KWENYE PREMIER MAANA NIKIINGIA KWENYE PLAYER HISTORY NI KI CLICK HAUJI

Na mimi pia hii imenitoa ushamba. Nasubiri jibu kwa anayefahamu.

Hii siioni kbs ...

1553847566341.png
 
Potelea mbali
Nawapa wote ushindi, akishinda mmoja napiga
Wakidraw nimeliwa
Screenshot_2019-03-29-11-38-48-1.jpeg
 
Habari zenu wadau wa betting!
First!....... nafurahishwa sana na jukwaa hili la betting ingawa sio mara nyingi nakuwepo humu lakini kipindi ambacho nipo na kuwa na access ya kuwa na simu au computer na connection ya internet basi huwa lazima niingie jukwa hili la kubet!.........kwani naamini wale wachakalikaji na wenye kutafuta wapo huku! maana huku sio lele mama! usipoangalia unaweza kata tamaa na ukalia kama mtoto lakini uvumilifu na maarifa uliyonayo ndio yatakufanya uwe kwenye mafanikio! Naheshimu sana watu wa ku-bet maan wao ni watu wenye kutumia akili mno katika kupambana na muhindi.....maana muhindi au mrusi unaweza sema freemason! washenzi wale!.......ukikaa vibaya wanaweza maliza balance yako yote ya mshahara!.......kwahiyo wale wanaume wanatupia mizigo ni lazima waheshimike kwani kupambana na hao freemason sio kitu kitu rahisi hata kidogo unatakiwa ujasiri hasa!.........na ndio hapa ninapowaheshimu watu wengi tu humu siwezi kuwataja majina wote ila mtu kama P.diddy.....mtu kama Upendodaima ...mtu kama buddy!....na wengineo wengi sana......wanapambana sana ili kuweza angalau kumchukulia mhindi asilimia 40% ya mapato yake.....
Watu wengi wanasema betting ni kubahatisha - mimi sioni km ni bahati. Mtu kajikunja, katumia nguvu zote akili zote, tena kapanga tokea kichwani kuwa Hossefeihm anacheza na bayern leverkusen....lazima hiyo mechi iwe na GG kwahiyo unaingia ndani zaidi kufuatilia matokeo ya mechi za nyuma na ile head to head na kujihakikishia kuwa hawa kweli wanatoa hiyo GG kisha unatupia laki yako moja na kusubiri laki na hamsini hivi baada ya mechi!, kwahiyo hakuna bahati hapo ni akili ya ziada na maarifa ya kufuatilia mpira! kama bahati ni kitu kidogo sana....kweli pia bahati huwa hipo lakini sio kivile zaidi ya akili usipotumia akili kama hata kama una baghati ni ngumu kufanikiwa!....sijuhi kama ninaeleweka hapo!......kadri unavyobet ndivyo maarifa yanaongezeka na ile wanita "safe! defiance" inaongezeka zaidi na kujikuta unatoka kwenye kundi la wachexza kamali na kuwa investor!....yaani unakuwa na msingi wako kabisa kama biashara zingine na unawekeza kutokana na hali ya soko siku hiyo!..........Mfano ukiwa na laki basi unaweza tumia Tsh 10,000/= kwa ajili ya kubet (invest) na ukatafuta odds 2+ au hata oddds 1.50 inatosha tu......sasa ndio hapo lazima kichwa kifanye kazi kaama usipoangalia hiyo laki yote inaishia kwa mhindi usipokuwa makini ..na kuacha tamaa....lakini ukitumia akili maarifa na uchungu wa pesa basi hakika kwa wiki yaani siku 7 hata ukipata siku 4 na siku 3 au 2 mikeka yako ikifa sio mbaya...najua wengi mnafahamu investing ya betting kwahiyo sina shaka mnaitumia vizuri hii fursa!
Mimi ni kati ya wale niliokuwa nadharau na kupuuza sana!....lakini huwa narudi hivi wakati nikiwa na shida ..........na ndipo najirahumu kwanini inafikia hivi!...ok! inaweza kuwa sababu ni kupoteza simu na nikashindwa kuwa hewani kama hivi kwani maisha yangu nayajua mwenyewe toka nilipofukuzwa kazi......kwa cheti feki! imefikia hatua hata pesa ya kula imekuwa shida!.....kwakuwa mimi nionapo fursa lazima nitumbukie.....nami nimeamua sasa hivi kweli kuzama huku kwani tayari mambo yamenifika hapa!! kooni ...kodi ya nyuma mwezi ujao tarehe 10.....nadaiwa laki 8....at least hiyo tarehe 10 ikifika niwe basi hata na laki 4 ya kumpoza mwenye nyumba,.........kwahiyo basi wadau naomba sana msaada wenu kwa wale wanaotupia mikeka yao yenye asilimia 99% ya kushinda mnitupie jamani ili niweze kutafuta hiyo kodi.......najua si kazi rahisi na wengine wanaweza sema sina hakili nimechanganyikiwa ....na wengine wansema sio sehemu sahihi ya kutafuta kodi kwenye betting ...lakini mimi najua hii ni biashara kama biashara zingine hasara zipo usipokuwa makini kikubwa ni umakini tu!......Haya mfukoni nina 10,000 ambayo tayari nimeiweka Gal bet na sasa hivi inasoma 9,500 baada ya kutengeneza mkeka mmoja ambao nimeweka 500 na nione je utanitoa? maana nimepata kama odds 2,200 hivi........ebu wacha nionyeshe hiyo balance iliyopo kwenye kampuni ninayotumia kubet ya Gal
balance.PNG

nafikiri mmeona balance hiyo hapo juu!.............Je hii balance kweli inaweza kunifikisha kwenye hata laki 4 baada ya siku 10 kuanzia sasa?....wacha nijiamini najua nitatoa hapo 5,000 leo na kutafuta odds 3 kisha nipate angalau 15,000 leo ....kisha niangalie kesho hali itakuwaje....nimewaambia kuwa nimetengeneza mkeka wa milioni 1 na ushee wenye odds 2,200 hivi wacha nionyeshe muuone....kama mambo yatakwenda sawa basi hewala!!...
mkeka 1.PNG

mkeka 2.PNG

kwahiyo jero yangu leo nimejaribu hapo kwa akili zangu....lakini bado nina jero moja nataka ku-edit huo mkeka ...kuangalia kuweka double chance au magoli na nataka kupunguza mechi pia angala 15 niwe naodds ambazo nikiweka jero nitapata angalau laki 4....sisemi ndio naweza pata....lazima nieleweke hapo......najua football ni kitu cha ajabu sana na ndio maana umeiona nimechukua timu ambazo huwezi tarajia wakati mwingine zinashindwa! ndio maana inakuja dhana ile ninayosema kubet sio bahati ni maarifa makubwa yanatumika!....nami wacha nicheze huu mchezo....nitarudi tena baada ya kufanya editing....lakini jioni sana najua mechi za leo zingine zinaweza anza........!
Nimemaliza yangu ya moyoni......wadau wa betting najua mtalisongesha gurudumu hili la betting kwani katika kutafuta fursa lazima ujikaze na upambane hasa....bila hivyo utaishia kusema maisha magumu! na kulaumu watu hapa.....Same in life, hakuna kubahatisha kwenye mafanikio. Wenzetu wanasema "The harder he works, the luckier he gets". Wewe ndugu yangu siku nzima umetegesha macho Shilawadu, jukwaa la mambo ya kikubwa, ukienda extra mile unaangukia kwa page ya Mange - tena bado unategemea bahati.
Chaos!
 
View attachment 1056847
nafikiri mmeona balance hiyo hapo juu!.............Je hii balance kweli inaweza kunifikisha kwenye hata laki 4 baada ya siku 10 kuanzia sasa?....wacha nijiamini najua nitatoa hapo 5,000 leo na kutafuta odds 3 kisha nipate angalau 15,000 leo ....kisha niangalie kesho hali itakuwaje....nimewaambia kuwa nimetengeneza mkeka wa milioni 1 na ushee wenye odds 2,200 hivi wacha nionyeshe muuone....kama mambo yatakwenda sawa basi hewala!!...
View attachment 1056859
View attachment 1056863
kwahiyo jero yangu leo nimejaribu hapo kwa akili zangu....lakini bado nina jero moja nataka ku-edit huo mkeka ...kuangalia kuweka double chance au magoli na nataka kupunguza mechi pia angala 15 niwe naodds ambazo nikiweka jero nitapata angalau laki 4....sisemi ndio naweza pata....lazima nieleweke hapo......najua football ni kitu cha ajabu sana na ndio maana umeiona nimechukua timu ambazo huwezi tarajia wakati mwingine zinashindwa! ndio maana inakuja dhana ile ninayosema kubet sio bahati ni maarifa makubwa yanatumika!....nami wacha nicheze huu mchezo....nitarudi tena baada ya kufanya editing....lakini jioni sana najua mechi za leo zingine zinaweza anza........!
Nimemaliza yangu ya moyoni......wadau wa betting najua mtalisongesha gurudumu hili la betting kwani katika kutafuta fursa lazima ujikaze na upambane hasa....bila hivyo utaishia kusema maisha magumu! na kulaumu watu hapa.....Same in life, hakuna kubahatisha kwenye mafanikio. Wenzetu wanasema "The harder he works, the luckier he gets". Wewe ndugu yangu siku nzima umetegesha macho Shilawadu, jukwaa la mambo ya kikubwa, ukienda extra mile unaangukia kwa page ya Mange - tena bado unategemea bahati.
Chaos!
Nimesoma kila kitu ulichoandika....kuna mantiki unayo, kimbembe ni itokeee hiyo mantiki
 
Hawa Fk Arsenal nimewapa direct win wanakata viuno tu uwanjani

Sijui nijilipue draw?
Screenshot_2019-03-29-12-24-23-1.jpeg
 
Back
Top Bottom