Vip server zao bado zinazingua kama zamani maana nina almost miaka 2 sijawagusa
Huwezi ona bet history KWENYE PREMIER BET ya kabla juz jioni mikeka utakayaoona n kuanzia website mpya ilivuoanza cheza mkeka usubiri approval ya bet yako ikiwa tayar gonga bet hstry utaona serial number ya mkeka na amount gonga hzo number mkeka utafunguka.
Sema inawezekana hi website ikaelemewa kesho sababu ya viewers kuwa wengi Mana hata Sasa n Kama 30' hv mkeka bado pending
Hongera mzee baba kama umeweka kilo hapo umempiga sana aisee...Ha haaaa
Imeitikaaa View attachment 1056907
Ukisha login shuka chini kwenye my bets afu click hapo palipoandikwa placed ndo utakuta mkeka uliobet
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye balance yako wamekata uliotaka kutoa?