Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tena mbona naona hii ya safari com ni nzuri kuliko ile ya kwetu kutoa na kuweka ni ndani ya dk 3 ila najiuliza siku wakitoa gafla mobile payment ya Safaricom tutakua na vilio vya kusaga meno humu

Sent using Jamii Forums mobile app
ikitokea umepiga pesa ndefu wakataka uverify identity yako inakuwaje mkuu? maana hio safaricom c inakuwa iko registerd na majina mengine au inakuwaje maana niko confused aisee
 
Aisee,hakuna bet tamu kama kubet inplay

Kuanzia dakika ya 70,mshiko nje nje halafu odd zimeshiba
 
Mkuu ni Kupambana tu mpk nukta ya mwisho. Hakuna kukatishwa tamaa na Vipigo vya kanjei.... Wanasemaga, "A calm see never made an experienced Sailor" One day You gonna make it Man!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HELA KIBAOO BADO KUTOLEWA! Leo SOKA inataka KUKUZAWADIA sehemu ya Tsh 38,999,999. Tsh 12,000,000 ZINAKUSUBIRI WEWE PIA. Zaidi ya Tsh 100,000,000 ZIMESHATOLEWA. Taifa Stars iliifunga? A. Uganda B. Zambia. Jibu A au B USHINDE SASA HIVI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…