The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Siku nyingi sana sijabeti. Leo nimeona nirudi hewani kuangalia upepo. Nimemkalisha muhindi vizuri
Imeitikaa
Mayu una upepo balaaa...hizo pre-match uwe unatuwekea mjomba kama vip sisi wengine wenye gundu tutembelee nyota yako..Mkeka ulionifanya nisilale umetiki
Ngoja nilale sasaView attachment 1058529
Not a good startMitambo imegoma
Try recovery View attachment 1058717
Not a good start
Mkuu nikushauri ktu? Kama kweli hyo pesa unayo na unania ya kuiweka toa hzo zote za direct Winn tafuta tmu Kama sita za over 1.5 lazma utapata odd 2 weka mzigo. Acha tamaa mwenye tamaa sku zote hajawahi kudumu kwenye betting na pia direct Winn n sumu kubwa kwenye betting .
Nadhan wewe jamaa unahitaji hyo pesa yako muindi aichukue tu. Tmu zote za Nini hzo kwa hyo pesa? Acha tamaa hyo pesa ukienda nayo taratbu utafka hyo pesa unayotaka kwa wk Moja tu. Lakn Kama unataka kwa haraka hvyo Basi naye kanj ataichukua kwa haraka.
Nipe mwongozo mkuu nashukuru Kwa ushauriNadhan wewe jamaa unahitaji hyo pesa yako muindi aichukue tu. Tmu zote za Nini hzo kwa hyo pesa? Acha tamaa hyo pesa ukienda nayo taratbu utafka hyo pesa unayotaka kwa wk Moja tu. Lakn Kama unataka kwa haraka hvyo Basi naye kanj ataichukua kwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app