Kama unatumia web yao angalia chini kuna sehemu imeandikwa my betWale wa premierbet hivi mnatazamaje mikeka yenu mliyoplace bet
Sawa mkuu.............lakini kuumbuka michezo ya mpunga haitakagi ushabiki
Mkeka wako badi unapumua mkuu??
Timu ninazozishabikia nimezitaja hapoSawa mkuu.............lakini kuumbuka michezo ya mpunga haitakagi ushabiki
Mimi wacha nilale kwanza jamani....kazi ya leo nimemaliza hivyo......maana na kimvua hiki shida!View attachment 1058028
yaap withdaraw ipo kwa simu mkuuMkuu hivi hawa jamaa wamesharudisha withdraw kwa simu au ndo mpaka uende kweny maduka yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuja kugundua mpaka uwe mchezaji Bora wa dunia kweli uko vzuri yaan Ronaldo kakosekana mechi ya Leo juve watu wanakosa magoli ya wazi ambapo mtu Kama Ronaldo sku nyingi tayar.
Hawa bado bwana!.......wanasema wana marekebisho...yakiisha wanarudisha! haijulikana lini!Mkuu hivi hawa jamaa wamesharudisha withdraw kwa simu au ndo mpaka uende kweny maduka yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv mbn mnajitesa sana? Uliona ugumu gani kuchagua over 1.5 golz hiyo yeny red! Muwe serius saa ingine