HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Nataka weka 100kJuve win
Man city win
Barcelona win
Buyern win
Dortmund win
Stake 10,000 ,,,,,,....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka weka 100kJuve win
Man city win
Barcelona win
Buyern win
Dortmund win
Stake 10,000 ,,,,,,....
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza uoga chief. Hii ni biashara na uaminifu ndy unaweka bitcoin mjini. Huwez kutapeliwa kwa lolote lileAiseee lakini umewahi jaribu kuuza mkuu, je hii njia ni salama kweli mfano umepiga mpunga mrefu unauza kwa mtu usiyemfaham?
Aiseee lakini umewahi jaribu kuuza mkuu, je hii njia ni salama kweli mfano umepiga mpunga mrefu unauza kwa mtu usiyemfaham?
Meridian wako safi sana tatizo tu ni "Server error".Wakiondoa hilo tatizo hawtakuwa na mpinzani Bongo.Wakuu, baada ya Premier kuharibu selections zao kwa makusudi na 1xbet kutofunguka, nimeamua nihamie Meridian.
View attachment 1057961
Hakika mkuu, servor error ndiyo inawaharibia....na ninadhani hiyo error inalemewa na wingi wa wateja.Meridian wako safi sana tatizo tu ni "Server error".Wakiondoa hilo tatizo hawtakuwa na mpinzani Bongo.
Hamia Safaricom aiseeeMkuu haiwezi tokea mnunuzi akakosekana au ukachelewa kupata mteja?, mfano kama unaharaka na hela hiyo
Mkuu nifanyie mpango nipate simcard mkuuHamia Safaricom aiseee
Mcheki jamaa anaitwa Internal yuko humu mimi ndio alinisaidiaMkuu nifanyie mpango nipate simcard mkuu
Nikishaipata line hiyo nafungua akaunt mpya au naendlea kutumia account ile ile niliyofungulia line ya voda tzMcheki jamaa anaitwa Internal yuko humu mimi ndio alinisaidia
Akaunti mpyaNikishaipata line hiyo nafungua akaunt mpya au naendlea kutumia account ile ile niliyofungulia line ya voda tz
Sawa.Akaunti mpya