Mo Genius
Senior Member
- Sep 21, 2018
- 135
- 319
Kumbe ulishajua mimj nilitenga kabisa mtaji wangu ni laki2Atimae nmejua kubet kwa kutafta hela sio kucheza kamari tena mambo ya kuweka timu 15 ni kupoteza hela sio kutaftaView attachment 1057932
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano leo gemu ya Fulham na man city man city kapewa 1.18 maana yake mimeweka laki1 baada tu ya gem nitakuwa nimeingiza elf 18 hv