Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haiwezi tokea mkuu
Wauzaji ndio wanunuaji, ndio biashara yao
Aiseee lakini umewahi jaribu kuuza mkuu, je hii njia ni salama kweli mfano umepiga mpunga mrefu unauza kwa mtu usiyemfaham?
 
Wakununua au??? Kama wakununua wapo pia kuna option ya ku sell na ukitaka kusell watu wanaorodheshwa unaangalia yule mwenye rates nzuri unamuuzia ila mm najitajidi nitafute laini ya safaricom tu

"World war Z"
Mkuu yote hayo nayaelewa jinsi ya kuuza/kununua!, issue inakuja hapo kwenye kuuza unamuuzia mtu humjjui harafu pia mfano unashida na hela ya haraka, bitcon unaziweka sokoni unakosamnunuza kwa muda mwafaka tayari unakuwa umekwama
 
Atimae nmejua kubet kwa kutafta hela sio kucheza kamari tena mambo ya kuweka timu 15 ni kupoteza hela sio kutafta
Screenshot_2019-03-30-00-09-21.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hats mi ilinisumbuaga sana hadi nikahisi nimepata ban.
Kwenye browser yako andika "How to deposit 1xbet"
Katika matokeo utakayopata hapo chini, kuna moja inafunguka vizuri. Unaisave kwa matumizi ya Mara kwa Mara.
Mkuu nashukuru kwa msaada. Nimeipata lakini naona kama hii ni ya KENYA.
1553941431241.png
 
T
Kama unayo sms ya muamala uliolipia, kama ulifuta wapigie mtandao wako wakutumie tena
Rudia zoezi zima hadi hatua ya mwisho jaza hiyo form
Tayari. Je kwa wastani inachukua muda mpaka balance isome?
 
Wakuu, baada ya Premier kuharibu selections zao kwa makusudi na 1xbet kutofunguka, nimeamua nihamie Meridian.
1553941336611.png
 
huu n uoga wakuliwa betpawa
.
goal zianzie 4

wakat ukija kwa Mruss kuna mpka over 0.5 mech iyo iyo
acha tukomae na Kremlin tu hakuna namnaView attachment 1057963

Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi kama huu wa betpawa ndo unanishawishi niwakimbie.. Kwa Mrusi nilikiwa sikosi pesa ya haraka bila presha, just zipatikane goli mbili kwa stake mlima japo odds zinakuwa ndogo ila pesa sikosi.
 
Kwa wale wadau mlioimiss 1xbet kwa kushindwa kuweka pesa kwa kupitia mitandao ya simu suluhisho hili hapa. Kuna kampuni inaitwa Mostbet mambo yake ni kama 1xbet wao tigo pesa, airtel money na mpesa zinapiga kazi kama kawaida. Link ya kujiunga hii hapa chini.

https://mostbetrussia26.xyz/register

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimejaribu kujiunga na hawa jamaa. Kwenye transaction ID najaza nini mkuu? Na business number ni ngapi?
 
Tea sac
Mkuu nimejaribu kujiunga na hawa jamaa. Kwenye transaction ID najaza nini mkuu? Na business number ni ngapi?
Transaction id ni namba ya uthibitisho wa muamala toka kwa mobile provider. Kwa mfano QXR123RP7 30/03/2019 14:40 imethibitisha umetuma ....
Business number ni 400700
 
Back
Top Bottom