Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau,humu ndani mbona sioni watu wakibet supabets,wana vijackpot vya team 4,6,10 na 13 ila kodi 20%

Sent using Brain
 
Nili-deposit tangu 21/03 mpaka sasa balance ni 0.00.
Nimejaribu kuchat nao through app, wapo very slow kijibu. Pia hawatoi suluhu.
It seems hela ipo 'hewani' kuwafikia.
Mkuu ulijaza "008 dusupay"
Au ulijaza 008 pekee kwenye ref no?

Je ulijaza form ya mwisho kuingiza no ya simu na no ya muamala uliopokea toka mpesa/tigopesa
Screenshot_2019-03-30-10-32-06-1.jpeg
Screenshot_2019-03-30-10-32-40.jpeg
 
Yeah! Na M-Pesa walithibitisha muamala.
Niki-overlook transaction id tu
Kama unayo sms ya muamala uliolipia, kama ulifuta wapigie mtandao wako wakutumie tena
Rudia zoezi zima hadi hatua ya mwisho jaza hiyo form
 
Kama unayo sms ya muamala uliolipia, kama ulifuta wapigie mtandao wako wakutumie tena
Rudia zoezi zima hadi hatua ya mwisho jaza hiyo form
Thanks! SMS nilifuta. Nawapigia voda sasa hivi
 
Ulivyofanya kuingiza ndio utafanya kutoa pia
Copy link toka 1xbet kisha kapaste kwenye receiving address LocalaBitcoins.com
Subiri ziingie kama dk 5 hadi nusu saa
Zikiingia click sell bitcoins kisha watatokea wanunuaji kibao, napendekeza mtumie Mallya ndio mwenye rate nzuri na yupo fasta
Nenda acc yake kafanye transaction kisha atakutumia kwenye simu yako
Utachelewe kidogo kusubiri kutoka 1xbet kuja LocalaBitcoins.com
Baada ya hapo ni ushapu wako
Mkuu haiwezi tokea mnunuzi akakosekana au ukachelewa kupata mteja?, mfano kama unaharaka na hela hiyo
 
Back
Top Bottom