Naomba nisikilize ndugu yangu hyo pesa n nyingi Sana ebu tafuta mechi Kama sita au nane za over 0.5 full time hzo mechi nane lazma zitakuja odd 2 weka hyo pesa itakija 112,000 kesho tena au leo usiku tafuta Tena odd 0.5 full time mechi 8 itakuja 224,000 kesho tena hvyo halfu baada ya wk njoo nipe mrejesho. Nakuambia hvyo kwa kuwa tmu kutoka 0-0 full time haswa kwa nchi Kama ENGLAND,SWEDEN,DENMARK ,GERMANY,NORWAY ,N.K NI NGUMU SANA TENA SANA N UHAKIKA ASILIMIA 200%
Shukria mangiNaomba nisikilize ndugu yangu hyo pesa n nyingi Sana ebu tafuta mechi Kama sita au nane za over 0.5 full time hzo mechi nane lazma zitakuja odd 2 weka hyo pesa itakija 112,000 kesho tena au leo usiku tafuta Tena odd 0.5 full time mechi 8 itakuja 224,000 kesho tena hvyo halfu baada ya wk njoo nipe mrejesho. Nakuambia hvyo kwa kuwa tmu kutoka 0-0 full time haswa kwa nchi Kama ENGLAND,SWEDEN,DENMARK ,GERMANY,NORWAY ,N.K NI NGUMU SANA TENA SANA N UHAKIKA ASILIMIA 200%
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu yangu fanya hvyo hutajutia kamwe kuingia kwenye betting lakn ukiweka tamaa utaiona betting ngumu sana. Wanao better direct Winn huwa wanaweka buku au jero lakn huwez mkuta mtu anaweka kuanzi elfu kumi kuendelea akaweka direct Winn never ukimkuta Basi huyo bado hajajua Nini anachokifanya yeye anabett for fun not work anymore.NA NILISHATOA USHAURI MUDA KIDOGO KUWA USIINGIE KWENYE BETTING KUTAFUTA MTAJI HUWEZI KUPATA KAMWE BALI INGIA KWENYE BETTING UKIWA NA MTAJI KUTAFUTA FAIDA UTAFANIKIWA NA USITAKE FAIDA KUBWA KULKO MTAJI UTAUA MTAJI ILA UKITAKA FAIDA NDOGO KULKO MTAJI BASI UTAFANIKIWA DAIMA.
Boss nisaidie tips namim, manake loss nnazokula sindogoSawa ndugu yangu fanya hvyo hutajutia kamwe kuingia kwenye betting lakn ukiweka tamaa utaiona betting ngumu sana. Wanao better direct Winn huwa wanaweka buku au jero lakn huwez mkuta mtu anaweka kuanzi elfu kumi kuendelea akaweka direct Winn never ukimkuta Basi huyo bado hajajua Nini anachokifanya yeye anabett for fun not work anymore.NA NILISHATOA USHAURI MUDA KIDOGO KUWA USIINGIE KWENYE BETTING KUTAFUTA MTAJI HUWEZI KUPATA KAMWE BALI INGIA KWENYE BETTING UKIWA NA MTAJI KUTAFUTA FAIDA UTAFANIKIWA NA USITAKE FAIDA KUBWA KULKO MTAJI UTAUA MTAJI ILA UKITAKA FAIDA NDOGO KULKO MTAJI BASI UTAFANIKIWA DAIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hatua ni zile zile achana na option zinazoumiza kichwa option nzuri na ya kurelux ni magoli tu mkuu acha kucheza elfu au Mia tano mkuu Kama unayo elfu kumi Anza kubet magoli over 1.5 tmu tatu ikifka elfu 50 shuka chini over 0.5 tmu 8au 6 lazma odd zitafka 2 weka elf50 yako ije lakn ,kesho weka Tena tmu 6au8 weka hyo lakn mwendo n huo huo mkuu acha tamaa UTAFANIKIWA mkuu kwa ASILIMIA 95%Boss nisaidie tips namim, manake loss nnazokula sindogoView attachment 1058754
Sent using Jamii Forums mobile app
hao watoto wa Youth league Czech hua wana fungana sana na ndo maana ume ona hata odds zake zimeshiba
Mkuu kanji simtu mzuri asee.mimi niliwapa wa gg na imegoma hisia za ndo zimenituma hivyo.Hiv mbn mnajitesa sana? Uliona ugumu gani kuchagua over 1.5 golz hiyo yeny red! Muwe serius saa ingine
Mkuu jana wigan kashindwa 0.5over sikuamin kabisaMkuu hatua ni zile zile achana na option zinazoumiza kichwa option nzuri na ya kurelux ni magoli tu mkuu acha kucheza elfu au Mia tano mkuu Kama unayo elfu kumi Anza kubet magoli over 1.5 tmu tatu ikifka elfu 50 shuka chini over 0.5 tmu 8au 6 lazma odd zitafka 2 weka elf50 yako ije lakn ,kesho weka Tena tmu 6au8 weka hyo lakn mwendo n huo huo mkuu acha tamaa UTAFANIKIWA mkuu kwa ASILIMIA 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kupoteza kupo lakni syo kwa kiasi kokubwa Kama direct winn. Mm nmechezaga Sana direct Winn nasema ukweli ningepiga hesabu nliyopoteza unaweza kuwa kichaa Ni elfu elfu lakn naliwa kla saa kla sku halafu sikomi sku nliyosema direct Winn Basi ndo hapo nlianza kuona FAIDA ya betting. Kupoteza napoteza lakn napata FAIDA Sana kuliko kupoteza . Na mchezo mwingine hatar n liver betting kukufaidisha n haraka Sana na kukufilisi Ni chapu huna hata kumi kwenye accc. Nmeamua kuwa na subira na kutafuta FAIDA NDOGO lakn nimuadhibu muindi kla sku
Mkuu unachokiongea ni kama umekariri au tuseme ww ni muoga wa risk takerSawa ndugu yangu fanya hvyo hutajutia kamwe kuingia kwenye betting lakn ukiweka tamaa utaiona betting ngumu sana. Wanao better direct Winn huwa wanaweka buku au jero lakn huwez mkuta mtu anaweka kuanzi elfu kumi kuendelea akaweka direct Winn never ukimkuta Basi huyo bado hajajua Nini anachokifanya yeye anabett for fun not work anymore.NA NILISHATOA USHAURI MUDA KIDOGO KUWA USIINGIE KWENYE BETTING KUTAFUTA MTAJI HUWEZI KUPATA KAMWE BALI INGIA KWENYE BETTING UKIWA NA MTAJI KUTAFUTA FAIDA UTAFANIKIWA NA USITAKE FAIDA KUBWA KULKO MTAJI UTAUA MTAJI ILA UKITAKA FAIDA NDOGO KULKO MTAJI BASI UTAFANIKIWA DAIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app