Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bado kazi imeisha kwa aliyeweka Option ya magoli over 1.5 hata first half haijaisha wakati wewe umeweka over 1.5 full time . Betting n rahsi sema watu ndo tunaifanya iwe ngumu kwaajili ya tamaa zetu na ukosefu wa mtaji tu. Mtu mwenye mtaji wa milion kla sku lazma awe na uhakika wa kuingiza zaidi ya lakn sita kwa magoli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Total odds 1.4
AS Monaco v SM Caen 1.5+

Silkeborg IF v HB Koege 1.5+
 
kuna kipind nlikuaga naeka 15k napata 18k au 17k nilitengeneza pesa ad ikafika 31k asa tamaa ikaingia nkaweka man u win, man city win. kilichonikuta daa nliumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kipind nlikuaga naeka 15k napata 18k au 17k nilitengeneza pesa ad ikafika 31k asa tamaa ikaingia nkaweka man u win, man city win. kilichonikuta daa nliumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu wangu kosa syo kosa ila kurudia kosa ndo kosa. Imekuondolea mtaji lakn umejifunza na hutarudi tena. Fanya hvyo utanipa report Cha msingi usiwe na tamaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buyer Jana katoka 1-1 ,westham kapigwa 2-0 pamoja nakuwa westham n nzur kulko evertone Tena kapigiwa nyumban, sku kadhaa zilizopita juve kalambwa 3-0 na kitmu Cha kijinga dah kweli kulko nibett direct Winn Bora niache betting kabsaa. Mm nawashauri wenzangu maana nmepoteza pesa nyingi Sana kwaajili ya direct Winn .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Parma na Atalanta dakika ya 16 tayar goli inaamana mpaka dakika 90 ziishe au hata hii first half over 1.5 itakuwa tayar View attachment 1058916

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo kuwa mechi bado mbichi lakn wengi watakuwa wameweka Atalanta ashinde Sasa wakiona kashafungwa presha inaanza shida yote ya Nini hyo wakati wanaocheza magoli wame relax zao na kinywaji wanacheck game bla wasi wawasi aliyeweka over 0.5 kamaliza game aliyeweka over 1.5 anasubr la pili na nlazma itatoa tu. BETTING YA MAGOLI BHANA RAHA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Legaue : Spain

Match: Levante-Eibar

TIP : X FT

ODD: 3.60

Time: 11:00

FRANCE LIGUE 2

TIME : 12:00

Match : Metz-Lorient

TIPS : [ X ] HT

ODDS : 2.30

FRANCE LIGUE 2

TIME : 12:00

Match : Metz-Lorient

TIPS : [ X ] FT

ODDS : 3.25
 
Booking Number: Z5X5QVCW

Multiple

31/03/2019 09:33:08

Draw Or Chelsea + Under 4.5 Goals

Double Chance + Over/Under

Cardiff City - Chelsea

31 Mar 14:05

Liverpool Or Draw + Under 4.5 Goals

Double Chance + Over/Under

Liverpool - Tottenham

31 Mar 16:30

Draw Or Real Betis + Under 4.5 Goals

Double Chance + Over/Under

Rayo Vallecano - Real Betis

31 Mar 13:00

Bendel Insurance FC Under 2.5 Goals

Home/Away - Over/Under Goals

Bendel Insurance FC - Wikki Tourists

31 Mar 16:00

Niger Tornadoes FC Under 2.5 Goals

Home/Away - Over/Under Goals

Niger Tornadoes FC - Enugu Rangers International FC

31 Mar 16:00

El Kanemi Warriors Under 2.5 Goals

Home/Away - Over/Under Goals

El Kanemi Warriors - Akwa United FC

31 Mar 16:00

Total stake:

*4.10odd*

*Moh*

Booking Number: Z5X57K23

Multiple

31/03/2019 10:57:37

Draw Or Feyenoord Rotterdam

Double Chance

Utrecht - Feyenoord Rotterdam

31 Mar 13:30

PEC Zwolle Or Draw

Double Chance

PEC Zwolle - FC Emmen

31 Mar 13:30

Majchrzak, Kamil

Match Winner

Majchrzak, Kamil - Janvier, Maxime

31 Mar 14:30

Total stake:

*5,000.00 to Collect 11,800*

*Moh*


Conti
 
Mi nimetega direct zangu 3 jamani
Over akili yangu inakataa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…