Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mkuu odd kubwa zinaogopesha kustake mzigoView attachment 1059071
Uoga bhana, hawa Benifica II walikua na odds 4.7 nilitaka kuweka elfu 20 nikaogopa nikaweka 2500 tu dah
Mkuu odd kubwa zinaogopesha kustake mzigoView attachment 1059071
Uoga bhana, hawa Benifica II walikua na odds 4.7 nilitaka kuweka elfu 20 nikaogopa nikaweka 2500 tu dah
Naamini gg haipo mkuuWale wanaotumia 1*bet mrusi anataka kuniambia gg hamna hapo au hayo n majarbu? Hivi anawajua MBAO FC vzuri au wameweka odd tu kwakuwa wameamua?View attachment 1059042
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kweli isiwepo lakn dah inatamanisha Sana hyo oddNaamini gg haipo mkuu
Kwa moto huu wa simba
Anything can happen in fotbol
Midtyland jana wametoka 0-0 hakuna option rahisi kwenye kubetNaomba nisikilize ndugu yangu hyo pesa n nyingi Sana ebu tafuta mechi Kama sita au nane za over 0.5 full time hzo mechi nane lazma zitakuja odd 2 weka hyo pesa itakija 112,000 kesho tena au leo usiku tafuta Tena odd 0.5 full time mechi 8 itakuja 224,000 kesho tena hvyo halfu baada ya wk njoo nipe mrejesho. Nakuambia hvyo kwa kuwa tmu kutoka 0-0 full time haswa kwa nchi Kama ENGLAND,SWEDEN,DENMARK ,GERMANY,NORWAY ,N.K NI NGUMU SANA TENA SANA N UHAKIKA ASILIMIA 200%
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima mmoja aharibu hapoNgumu kuweka mzigo
Sevila win
Napoli win
Madrid win
Psg win
Liverpool win
Chelsea win
Total odd 19.8 ,kama una buku tano haina kazi jaribu bahat
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu syo kla nchi au mechi unaweka hapana Kuna mechi na nchi pia na ndo maana unatakiwa uchambue.
Kwa mfano mechi za uingereza ,ujeruman hapo mtu atakufa uwanjan lakn haitoki 0-0Mkuu syo kla nchi au mechi unaweka hapana Kuna mechi na nchi pia na ndo maana unatakiwa uchambue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said..Hakuna option rahisi kwenye kubeti. Option yenye hata odd ya 1.01 inaweza kuchana mkeka kikubwa ni kustratergyz ili kupunguza risk ya kuliwa na kupata faida..
Kumbuka kuna watu walimuua Bayern, hivyo umewatukana.Jana Nilikuwa Natembea Na Elfu 15000 Lakini Bayern Kaniuwa Quuma La Mamaake
Nilijua mmoja lazma afeNafanya maamuzi magumuView attachment 1059102
Syo lazma nakata hlo kuna nchi na nchi. Kuna nchi magoli syo ya kutafuta bali ushindi ndo wakutafuta.Well said..Hakuna option rahisi kwenye kubeti. Option yenye hata odd ya 1.01 inaweza kuchana mkeka kikubwa ni kustratergyz ili kupunguza risk ya kuliwa na kupata faida..
Nimemuona Mayu pia anacheza sana direct win na kwa kweli mikeka kibao tunaiona imewin..Hatuwezi wote kucheza option moja kimsingi tunacheza option ambazo kila mtu anaona zinamsuit na zitamletea matokeo chanya..
Kuna siku timu zitatoka 0-0 kuna siku zitatoa magoli n.k, hyo ndiyo football, cha msingi tushee skills zetu na mbinu mbalimbali lakin si kuikashifu ama kuisemea vibaya mbinu ya mwenzio bila kufahamu mbinu hiyo hiyo ndo inayompa matokeo chanya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uingereza magoli syo shda kazi ipo kwenye ushindi ,ujeruman,Denmark,netheland,Italy baadhi,Belgium baadhi, Norway baadhiSyo lazma nakata hlo kuna nchi na nchi. Kuna nchi magoli syo ya kutafuta bali ushindi ndo wakutafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app