Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naombeni ufafanuzi
Hizo zile bet za jumla za michezo ya siku

Hapo kwenye each team to score 2 or more maana yake nini?
Kwamba kila timu ifunge kuanzia mbili?

Na hapo kwenye total goal over 19 inamaana jumla ya magoli ya game zote mbili iwe 19?

Naona kama odd za bure hizi au sijaelewaView attachment 1060995View attachment 1060998
Ina maana humu ndani hakuna wanaojua hii kitu
Ufafanuzi please
 
IMG_20190401_141859_436.jpg
IMG_20190402_132607_309.jpg
IMG_20190402_132610_937.jpg
 
Australia


Coomera Reserves - Tweed United Reserves


Tip: Over 2.5✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Australia


Surfers Paradise - Burleigh Heads


Tip: Over 2.5✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Ukraine


Lviv U21 - Desna Chernihiv U21



Tip: Over 2.5✅✅✅✅✅✅✅✅✅
 
Screenshot_20190402-142218.png
 

Attachments

  • Screenshot_20190402-142224.png
    Screenshot_20190402-142224.png
    41 KB · Views: 31

Mtakuwa kuibiwa siku nyingine kuforce vitu ambavyo havipo! Kwani kwa website huwezi kubeti au? Wenye kampuni hawajatengeneza App na umeambiwa kabisa app haipo sasa unachokitafuta wewe ni kuibiwa kizembe sana! Kuwa makini saana na mtandao siku hz kuibiwa dakika 0 tu mtu anakutengenezea app unadeposit unapigwa pesa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu naombeni ufafanuzi
Hizo zile bet za jumla za michezo ya siku

Hapo kwenye each team to score 2 or more maana yake nini?
Kwamba kila timu ifunge kuanzia mbili?

Na hapo kwenye total goal over 19 inamaana jumla ya magoli ya game zote mbili iwe 19?

Naona kama odd za bure hizi au sijaelewaView attachment 1060995View attachment 1060998
Mkuu hapo each team to score 2 or more ni kwel kila timu ipate goli 2 na kuendelea na cy kila mechi.

Na pale siyo magoli kama unavyoona angalia vzr hy selection ni ya kona so hapo unachagua kati ya hizo mechi 2 kuna zaidi ya kona hizo au!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My bux kwa kuweka hela 1Xbet ina gharama za kulipia kama bitcoin?,

Kwa wale walio tumia plse

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la 1xbet sio kudeposit
Tatizo kutoa baba

Biticoins so far ndio njia salama kabisa
Haina usumbufu wa kutakiwa kutoa mavitambulisho hata utoe bilioni

Bank zimezuiwa kupokea pesa toka kampuni za kamari zisizo sajiliwa bongo
Safaricom ni rahisi sana ila sasa siku ukipoteza line au utakiwe kuthibitisha ndio wewe itakua hapatoshi
 
Back
Top Bottom