Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Ina maana humu ndani hakuna wanaojua hii kituWakuu naombeni ufafanuzi
Hizo zile bet za jumla za michezo ya siku
Hapo kwenye each team to score 2 or more maana yake nini?
Kwamba kila timu ifunge kuanzia mbili?
Na hapo kwenye total goal over 19 inamaana jumla ya magoli ya game zote mbili iwe 19?
Naona kama odd za bure hizi au sijaelewaView attachment 1060995View attachment 1060998
Haina app officialbet pawa ina App?
kama ipiHaina app official
Ila zipo app za mtaani zinapiga kazi fresh tu
Mkuu search googlekama ipi
Duuuh hii option ina hela...inabd nijaribu hlf nizitenge mech kimakundi makundi
mkuu hizi option inakuaje double win tueleweshe kidogoVuvuzela, Juve,Man,Barca. Najua Mechi zote ni ngumu Naamini leo ndo tutaona shughuli ya walewaliovunja record za usajili. Na isitoshe mojawapo ya hivi vitatu kuna kimoja kinakwenda kubeba ndoo ya UEFA. Good luck.View attachment 1060864
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ipi
Mkuu hapo each team to score 2 or more ni kwel kila timu ipate goli 2 na kuendelea na cy kila mechi.Wakuu naombeni ufafanuzi
Hizo zile bet za jumla za michezo ya siku
Hapo kwenye each team to score 2 or more maana yake nini?
Kwamba kila timu ifunge kuanzia mbili?
Na hapo kwenye total goal over 19 inamaana jumla ya magoli ya game zote mbili iwe 19?
Naona kama odd za bure hizi au sijaelewaView attachment 1060995View attachment 1060998
shukrani mkuuAway team wins the 1st half AND 2nd half (AW2)
Kifupi, nahisi hii ni sawa na kuipa ushindi timu ya away/ ugenini ushindi MWANZO MWISHO. Ashinde vipindi vyote.
Tatizo la 1xbet sio kudepositMy bux kwa kuweka hela 1Xbet ina gharama za kulipia kama bitcoin?,
Kwa wale walio tumia plse
Sent using Jamii Forums mobile app