Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu, hivi hii jackpot ya betpawa unaweza kucheza zaidi ya ticket moja..? Msaada tutani wakubwa.
 
Waliona dodo kama Mimi kwa bwana Paul S.S waende kwa wakala wakachukue hela yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Embe dodo unaliachaje kwa mfano kaka
Screenshot_2019-04-02-17-17-43-1.jpeg
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hatari sana mkuu.
Shida kupata mkuu
Hebu angalia matokeo ya jacpot iliopita ndio utajua mziki wake

Nilikuaga nacheza hadi tiketi 30
Tiketi ya juu nilipatia timu 7 tu
Zingine ni vichekesho mkuu

Jacpot ni kupoteza muda tu
 
Back
Top Bottom