eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hizi kazi zina wenyewe na wenyewe ndio mimiYaani ni mwoga wa hali ya juu, na Psv unampa double chance kwel
Asee mm ni bora niliwe ila siogopi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip bado tu haijaingia?Kuna akihamisha hela kutoka Safaricom kwenda Vodacom maana yng toka jana imekwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kila MTU anastaili yake ya kubeti
Zipo mbona mi nilibet fresh mkuuPrincessbet wananinyima pesa kwa nba, yaani hakuna option kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mi nikawa na ile notion kwamba over 0.5 inakuwa 1 na 31.5 inakuwa 32Hapo unatoa 31.5 sio 32 na inabaki 103.5 yaan inaongezeka 0.5 na sio droo
Sent using Jamii Forums mobile app