Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

samahan wakuu hivi parimatch ni ya kitanzania ?na je wanajiungaje?maana kwenye kuchagua currency nmechanganywa kabisa na je kudeposity hela ikoje na kutoa?je wanatumia laini za kibongo au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Moja kabisa parimatch ni Ya Uganda ila wana tawi lao hapa Tanzania na wanatumia tigo na Voda pekee kwenye kudeposit na kuwithdraw! Na ni fasta saana ndani ya dakika 1 mpunga wako unaingia halafu kuhusu currency nadhani itakuwa umetumia website ya uganda hakikisha website inaishia na .co.tz yaani parimatch.co.tz ukitumia nyingine lazima ikuletee currency ya uganda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.

Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.

Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naitaji line ya safaricom, ntaipata vipi? Na gharama ni kiasi gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHUKUA BAADHI ZINAZOKUFAAView attachment 1062477
Screenshot_2019-04-04-12-03-39.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAIN VIP TICKET

Netherlands
PSV vs Zwolle
Tip Over2.5 @1.35

Spain
Sevilla – Alaves
Tip 1 @ 1.46

Italy
Atalanta – Bologna
Tip 1 @ 1.52

Netherlands
Feyenoord – Heerenveen
Tip BTS-YES @ 1.55
 
Back
Top Bottom